Soudybrown wa CMG Diamond Platnumz anao uwezo wa kukuajiri Umfulie tu Nguo zake za ndani

Mleta thread umeniwahi lakini hakijaharibika kitu.......hawa wa-ngese wa shilawadu wanaudhi sana .
Kama huyo SUDI BRAUZI ni ku-m-a kabisa ni tapeli wa mitandaoni alijaribu kunitapeli eti anauzaga iPHONE ms-e-e--ng-%e alitaka anipige ku-m-zake.....Dai yupo matawi ya juu wao walie na hiyo clouds na hivi imetolewa kwenye vinga'muzi vya dstv na zuku watakufa njaa ma-ni-n-a z-a-o
 
100%
 
Wapambe wa diamond mna kazi sana kuliko diamond mwenyewe
 
Sasa mie nichangie nini hapa....kwa hiyo wewe ni jaji au refaree?😎
 
Mbona wewe unalala sebuleni kw a"shemeji" tena hapo Jangwani na hatusemi?umetumwa na wa-nge-se wenzako....kawashauri kwanza mhahame sebuleni kwa mkazadadanu!
Kijana diamond anakupakua nini??..mbona una rukaruka sana mbwana mdogo??
 
Kuna mambo uwa yananifurahisha.................... karibia redio zote zina vipindi vya umbea copy n paster kwa soudy lakini yeye tu ndiye alaumiwe.
Tuhuma za Babu Tale na Fela kuwa dhulumu vijana leo zimepotea wamegeuka watetezi wa wasanii kisa tu wana bifu na clouds na watu mziki wa kauvaa, wangeanza kwa kumtetea Rich Mavoko aliyeamua kuvunja mkataba wa kinyonyaji.
Uzuri tanzania ni kama vile tuko kwenye ukumbi wa disco tunaenda na vibe la Dj akibadiri track tunabadiri style...
 
Watangazaji wengi hali zao ni ngumu saana tu,wasipojiongeza kwa mishe za hapa na pale wanatia huruma sana!

Niliwahi ishi apartment moja na mtangazaji mmoja wa CMG,alikua anatia huruma saana,matamasha ndio yalikua yanamuokoa okoa.

Na aliwahi niambia wanarogana saana pale mjengoni hasa kipindi kama hichi cha mwisho wa mwaka ambapo mikataba yao inaisha.

Kuna siku alidondoka kwenye ngazi bahati mbaya mkewe alichamganyikiwa vibaya mnoo,akawa anasema tayari wameshamroga,sijui kuna nani yupo pale CMG anataka achukue nafasi yake kwenye kile kipindi kinaanza na honi ya meli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…