Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Sawa shabiki..vp una tumia jina gani insta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%Mleta thread umeniwahi lakini hakijaharibika kitu.......hawa wa-ngese wa shilawadu wanaudhi sana .
Kama huyo SUDI BRAUZI ni ku-m-a kabisa ni tapeli wa mitandaoni alijaribu kunitapeli eti anauzaga iPHONE ms-e-e--ng-%e alitaka anipige ku-m-zake.....Dai yupo matawi ya juu wao walie na hiyo clouds na hivi imetolewa kwenye vinga'muzi vya dstv na zuku watakufa njaa ma-ni-n-a z-a-o
Diamond gani..huyu anayeishi madale kwenye kiwanja cha 18×18??
Wapambe wa diamond mna kazi sana kuliko diamond mwenyeweMoja kati ya watu wanaoiharibia clouds na kuipotezea mashabiki ni hili kundi la shilawadu, Vijana wamekuwa ni watu wa shari sana na hawapendi maendeleo ya waliowazidi kimaisha.
Bifu la Platnumz na Clouds lilianza pale baada ya Soudy na Kwisa kushushiwa kipigo kikali na Moze Iyobo yote sababu ya kufuatilia maisha ya watu. Baada ya hapo Soudy akawa anamchukia sana Diamond platnuz, wakaanza kumpandisha Aslay ili ampoteze Platnumz lakini mwishowe ikashindikana na Aslay wamemtelekeza, Wakaja kwa Alikiba nae wamempandisha mwishoe wakanyoosha mikono juu.
Soudy amekuwa akimfuatilia sana Platnumz kwa maeneno ya chini chini lakini Platnumz amekuwa haangaiki kumjibu, Soudy now amekuwa yupo tayari kusifia chochote hata kama kibovu ilimradi tu akipambanishe na cha Diamond Platnumz lakini anachemka.
Nimkumbushe tu Soudy Diamond kwa sasa sio Level zake, yaani kamzidi kwa kila kitu na ndio maana juzi Diamond kajitolea Millioni 68 kule Sumbawanga Simple tu kwa ajili ya ujenzi wa shule .
Diamomd anao uwezo wa kumuajiri na kumlipa Soudy mshahara anaolipwa pale Clouds kwa ajili ya kumfulia tu Boxa zake za ndani, Anao uwezo wa kuwalipa Kwisa na Soudy mshahara uleule wanaoupata pale Clouds kwa ajili ya Usafi wa Nyumba yake pale Madale simple tu .
Vijana Muache Dharau msisubirie hadi mtu atangulie mbele za haki kama The great kanumba ndio mzinduke usingizini kukumbuka mchango wake na kuacha majungu yenu.
Sasa mie nichangie nini hapa....kwa hiyo wewe ni jaji au refaree?😎Moja kati ya watu wanaoiharibia clouds na kuipotezea mashabiki ni hili kundi la shilawadu, Vijana wamekuwa ni watu wa shari sana na hawapendi maendeleo ya waliowazidi kimaisha.
Bifu la Platnumz na Clouds lilianza pale baada ya Soudy na Kwisa kushushiwa kipigo kikali na Moze Iyobo yote sababu ya kufuatilia maisha ya watu. Baada ya hapo Soudy akawa anamchukia sana Diamond platnuz, wakaanza kumpandisha Aslay ili ampoteze Platnumz lakini mwishowe ikashindikana na Aslay wamemtelekeza, Wakaja kwa Alikiba nae wamempandisha mwishoe wakanyoosha mikono juu.
Soudy amekuwa akimfuatilia sana Platnumz kwa maeneno ya chini chini lakini Platnumz amekuwa haangaiki kumjibu, Soudy now amekuwa yupo tayari kusifia chochote hata kama kibovu ilimradi tu akipambanishe na cha Diamond Platnumz lakini anachemka.
Nimkumbushe tu Soudy Diamond kwa sasa sio Level zake, yaani kamzidi kwa kila kitu na ndio maana juzi Diamond kajitolea Millioni 68 kule Sumbawanga Simple tu kwa ajili ya ujenzi wa shule .
Diamomd anao uwezo wa kumuajiri na kumlipa Soudy mshahara anaolipwa pale Clouds kwa ajili ya kumfulia tu Boxa zake za ndani, Anao uwezo wa kuwalipa Kwisa na Soudy mshahara uleule wanaoupata pale Clouds kwa ajili ya Usafi wa Nyumba yake pale Madale simple tu .
Vijana Muache Dharau msisubirie hadi mtu atangulie mbele za haki kama The great kanumba ndio mzinduke usingizini kukumbuka mchango wake na kuacha majungu yenu.
Kijana diamond anakupakua nini??..mbona una rukaruka sana mbwana mdogo??Mbona wewe unalala sebuleni kw a"shemeji" tena hapo Jangwani na hatusemi?umetumwa na wa-nge-se wenzako....kawashauri kwanza mhahame sebuleni kwa mkazadadanu!
kama unaona bado hujachangia basi usichangie kabisa...Sasa mie nichangie nini hapa....kwa hiyo wewe ni jaji au refaree?😎