Soudybrown wa CMG Diamond Platnumz anao uwezo wa kukuajiri Umfulie tu Nguo zake za ndani

Nimeangalia thread zako za nyuma aisee unachekesha sana!
 
Yaonekana wewe binafsi unaweza kufanya zaidi ya kufua pichu...una roho ya kitumwa na unazongwa na maumivu ya moyo.
 
Hahaaaa duuuu hatari sanaaaa
 
So Kibonde akadondoka?[emoji13] [emoji23] [emoji23]
 
babu tale bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwandiko wake haubadiliki

yani anavyoandika insta na huku jf vilevile yani πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu mwisho wa siku kila mtu hapo anatafuta maslahi yake,na kila mtu anamchafua na kumharibia mwenzake ili na yeye apate kula.
 
Mkuu mwisho wa siku kila mtu hapo anatafuta maslahi yake,na kila mtu anamchafua na kumharibia mwenzake ili na yeye apate kula.
Umeona eeehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…