Soudybrown wa CMG Diamond Platnumz anao uwezo wa kukuajiri Umfulie tu Nguo zake za ndani

Soudybrown wa CMG Diamond Platnumz anao uwezo wa kukuajiri Umfulie tu Nguo zake za ndani

Nimeangalia thread zako za nyuma aisee unachekesha sana!
 
Yaonekana wewe binafsi unaweza kufanya zaidi ya kufua pichu...una roho ya kitumwa na unazongwa na maumivu ya moyo.
 
Watangazaji wengi hali zao ni ngumu saana tu,wasipojiongeza kwa mishe za hapa na pale wanatia huruma sana!

Niliwahi ishi apartment moja na mtangazaji mmoja wa CMG,alikua anatia huruma saana,matamasha ndio yalikua yanamuokoa okoa.

Na aliwahi niambia wanarogana saana pale mjengoni hasa kipindi kama hichi cha mwisho wa mwaka ambapo mikataba yao inaisha.

Kuna siku alidondoka kwenye ngazi bahati mbaya mkewe alichamganyikiwa vibaya mnoo,akawa anasema tayari wameshamroga,sijui kuna nani yupo pale CMG anataka achukue nafasi yake kwenye kile kipindi kinaanza na honi ya meli.
Hahaaaa duuuu hatari sanaaaa
 
So Kibonde akadondoka?[emoji13] [emoji23] [emoji23]
 
babu tale bwana 😂😂😂😂 mwandiko wake haubadiliki

yani anavyoandika insta na huku jf vilevile yani 😂😂
 
Kuna mambo uwa yananifurahisha.................... karibia redio zote zina vipindi vya umbea copy n paster kwa soudy lakini yeye tu ndiye alaumiwe.
Tuhuma za Babu Tale na Fela kuwa dhulumu vijana leo zimepotea wamegeuka watetezi wa wasanii kisa tu wana bifu na clouds na watu mziki wa kauvaa, wangeanza kwa kumtetea Rich Mavoko aliyeamua kuvunja mkataba wa kinyonyaji.
Uzuri tanzania ni kama vile tuko kwenye ukumbi wa disco tunaenda na vibe la Dj akibadiri track tunabadiri style...
Mkuu mwisho wa siku kila mtu hapo anatafuta maslahi yake,na kila mtu anamchafua na kumharibia mwenzake ili na yeye apate kula.
 
Back
Top Bottom