No am TanzaniannamibianArdhi aiozi! Mleta uzi kwanza sio mtanzania! Huwezi kusema serikali ya Tanzania imelala eti kwasababu wananchi wake hawatumii ardhi kukopa! Tanzania INA njia nyingi ya kupata mapato
Ardhi aiozi! Mleta uzi kwanza sio mtanzania! Huwezi kusema serikali ya Tanzania imelala eti kwasababu wananchi wake hawatumii ardhi kukopa! Tanzania INA njia nyingi ya kupata mapato
Source ya umasikini Tanzania si Mali bali watz wengi hawakopeshiki kwa banks# hawana registered assets # in Tz unaweza ona mtu anamiliki more than100 hectares or acres of land but ni mtu masikini sana he can't ultilize that land profitabily# Solution ni Ku register asset zote na wapewe title esp land title , hapo watz weng watafaidi mikopo banks , lakin kwa sasa serikali ya Tz bado imelala sana
Kuna ukweli flani pale lakini. Raslimali kubwa zaidi ya ardhi kwa kila taifa ni watu na ubongo zao ...mwanasayansi,mvumbuzi wa technoloy,mwekezaji ,msanii ...hawa wote they unlock vast wealth from using brains rather than holding mere lands.(mfano ona vile msanii Diamond alikotoka)Usidhani hao wenye ardhi hawana akili! Wana akili sana? Riba ya mikopo benki ni kubwa kiasi kwamba kutumia ardhi au nyumba as a collateral kama huna uhakika bora acha wanao watafaidi. Watu wengi wamekuwa masikini wa kutupwa baada ya kupoteza nyumba/mashamba/viwanja na kuchukuliwa na benks. Benki nyingi zimekimbilia kulaghai wateja kwa kuweka dhamana ardhi na nyumba baada ya kuona ndo njia pekee ya kupata pesa za haraka na za bure
Kenya imeingiliana vipi kwenye huu uzi???Sasa si bora mtanzania, huyo mkenya mwenyewe hawezi kumiliki ardhi once no land,no land forever...mkenya ana-rent hadi ile kibanda ya kibera
Mwambie mkenya mwenzio mambo ya tz yanamuhusu vpKenya imeingiliana vipi kwenye huu uzi???
Wacha urongo wwNo am Tanzaniannamibian
Source ya umasikini Tanzania si Mali bali watz wengi hawakopeshiki kwa banks# hawana registered assets # in Tz unaweza ona mtu anamiliki more than100 hectares or acres of land but ni mtu masikini sana he can't ultilize that land profitabily# Solution ni Ku register asset zote na wapewe title esp land title , hapo watz weng watafaidi mikopo banks , lakin kwa sasa serikali ya Tz bado imelala sana
Source ya umasikini Tanzania si Mali bali watz wengi hawakopeshiki kwa banks# hawana registered assets # in Tz unaweza ona mtu anamiliki more than100 hectares or acres of land but ni mtu masikini sana he can't ultilize that land profitabily# Solution ni Ku register asset zote na wapewe title esp land title , hapo watz weng watafaidi mikopo banks , lakin kwa sasa serikali ya Tz bado imelala sana
Ujui imeingiliana vipi wakati unaona mleta maba ana njaa watu tunajua tu kama huyu atakua mkenya kwasababu ananuka njaa hata kiswahili chake cha kinjaa njaa tu. Kuiga lugha za watu kazi kwel yani mtu ukiandika tu lazima ujulikane kama huyu atakua mkenya[emoji16][emoji16][emoji16]Kenya imeingiliana vipi kwenye huu uzi???
Nadhani hujui maana ya mikopo (you need a Business plan). Aidha hujui how land is taxed in Tanzania. Unless unataka kuanzisha biashara yenye kuzaa faida ambayo unaweza kulipa interest na ukapata albaki ndipo unatafuta mtaji kwa kukopa benki. Hujasikia jinsi watu nyumba zao zimeuzwa na mabenki, hata juzi mtu ana uber 50 yono wamezipiga mnada. Acha theories katika maishaSource ya umasikini Tanzania si Mali bali watz wengi hawakopeshiki kwa banks# hawana registered assets # in Tz unaweza ona mtu anamiliki more than100 hectares or acres of land but ni mtu masikini sana he can't ultilize that land profitabily# Solution ni Ku register asset zote na wapewe title esp land title , hapo watz weng watafaidi mikopo banks , lakin kwa sasa serikali ya Tz bado imelala sana