Source ya umasikini Tanzania

Source ya umasikini Tanzania

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
Source ya umasikini Tanzania si Mali bali watz wengi hawakopeshiki kwa banks# hawana registered assets # in Tz unaweza ona mtu anamiliki more than100 hectares or acres of land but ni mtu masikini sana he can't ultilize that land profitabily# Solution ni Ku register asset zote na wapewe title esp land title , hapo watz weng watafaidi mikopo banks , lakin kwa sasa serikali ya Tz bado imelala sana
 
Usidhani hao wenye ardhi hawana akili! Wana akili sana? Riba ya mikopo benki ni kubwa kiasi kwamba kutumia ardhi au nyumba as a collateral kama huna uhakika bora acha wanao watafaidi. Watu wengi wamekuwa masikini wa kutupwa baada ya kupoteza nyumba/mashamba/viwanja na kuchukuliwa na benks. Benki nyingi zimekimbilia kulaghai wateja kwa kuweka dhamana ardhi na nyumba baada ya kuona ndo njia pekee ya kupata pesa za haraka na za bure
 
Ardhi aiozi! Mleta uzi kwanza sio mtanzania! Huwezi kusema serikali ya Tanzania imelala eti kwasababu wananchi wake hawatumii ardhi kukopa! Tanzania INA njia nyingi ya kupata mapato
 
Source ya umasikini Tanzania si Mali bali watz wengi hawakopeshiki kwa banks# hawana registered assets # in Tz unaweza ona mtu anamiliki more than100 hectares or acres of land but ni mtu masikini sana he can't ultilize that land profitabily# Solution ni Ku register asset zote na wapewe title esp land title , hapo watz weng watafaidi mikopo banks , lakin kwa sasa serikali ya Tz bado imelala sana

Hii sio source ya umaskini tz rudi kafanye research upya

Cc Kingsmann
 
Usidhani hao wenye ardhi hawana akili! Wana akili sana? Riba ya mikopo benki ni kubwa kiasi kwamba kutumia ardhi au nyumba as a collateral kama huna uhakika bora acha wanao watafaidi. Watu wengi wamekuwa masikini wa kutupwa baada ya kupoteza nyumba/mashamba/viwanja na kuchukuliwa na benks. Benki nyingi zimekimbilia kulaghai wateja kwa kuweka dhamana ardhi na nyumba baada ya kuona ndo njia pekee ya kupata pesa za haraka na za bure
Kuna ukweli flani pale lakini. Raslimali kubwa zaidi ya ardhi kwa kila taifa ni watu na ubongo zao ...mwanasayansi,mvumbuzi wa technoloy,mwekezaji ,msanii ...hawa wote they unlock vast wealth from using brains rather than holding mere lands.(mfano ona vile msanii Diamond alikotoka)

Wenye kushikilia ardhi sana ni watu wa aina ya "one trick pony' sababu they can't think beyond old style traditional economy and wealth.
 
Sasa si bora mtanzania, huyo mkenya mwenyewe hawezi kumiliki ardhi once no land,no land forever...mkenya ana-rent hadi ile kibanda ya kibera
 
Source ya umasikini Tanzania si Mali bali watz wengi hawakopeshiki kwa banks# hawana registered assets # in Tz unaweza ona mtu anamiliki more than100 hectares or acres of land but ni mtu masikini sana he can't ultilize that land profitabily# Solution ni Ku register asset zote na wapewe title esp land title , hapo watz weng watafaidi mikopo banks , lakin kwa sasa serikali ya Tz bado imelala sana

That's not only in Tanzania, it's the trend of entire continent.
We have a lot of unregistered businesses or enterprises, likewise the unrecorded transactions. The result is reflected in GDP. We are recording a very small GDP. Also the governments lose a big pie of revenue.
 
Utakua unamatatizo kichwani wewe ,hivi unajua chanzo cha Kenya kuwa na njaa miaka yote mpaka unaacha kujadili nchi yako unajadili matatizo ya nchi jirani ikiwa kwenye nchi yako kuna hali mbaya zaidi kuliko huko kwa unaemjadili?.
Source ya umasikini Tanzania si Mali bali watz wengi hawakopeshiki kwa banks# hawana registered assets # in Tz unaweza ona mtu anamiliki more than100 hectares or acres of land but ni mtu masikini sana he can't ultilize that land profitabily# Solution ni Ku register asset zote na wapewe title esp land title , hapo watz weng watafaidi mikopo banks , lakin kwa sasa serikali ya Tz bado imelala sana
 
Kenya imeingiliana vipi kwenye huu uzi???
Ujui imeingiliana vipi wakati unaona mleta maba ana njaa watu tunajua tu kama huyu atakua mkenya kwasababu ananuka njaa hata kiswahili chake cha kinjaa njaa tu. Kuiga lugha za watu kazi kwel yani mtu ukiandika tu lazima ujulikane kama huyu atakua mkenya[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Source ya umasikini Tanzania si Mali bali watz wengi hawakopeshiki kwa banks# hawana registered assets # in Tz unaweza ona mtu anamiliki more than100 hectares or acres of land but ni mtu masikini sana he can't ultilize that land profitabily# Solution ni Ku register asset zote na wapewe title esp land title , hapo watz weng watafaidi mikopo banks , lakin kwa sasa serikali ya Tz bado imelala sana
Nadhani hujui maana ya mikopo (you need a Business plan). Aidha hujui how land is taxed in Tanzania. Unless unataka kuanzisha biashara yenye kuzaa faida ambayo unaweza kulipa interest na ukapata albaki ndipo unatafuta mtaji kwa kukopa benki. Hujasikia jinsi watu nyumba zao zimeuzwa na mabenki, hata juzi mtu ana uber 50 yono wamezipiga mnada. Acha theories katika maisha
 
Kwa hili nakukatalia mbali mleta mada, jieupeshe kabisa kusaka mkopo kwa kutumia ardhi au urithi wako.
Bora uishi kwa makande kila siku, siku zote unapofuata mkopo jiridhishe mara mia moja kwamba una uhakika wa kile unataka kukifanya, kweli kitalipa huo mkopo pamoja na riba, la sivyo kaa mbali.
 
Back
Top Bottom