Kwa hili nakukatalia mbali mleta mada, jieupeshe kabisa kusaka mkopo kwa kutumia ardhi au urithi wako.
Bora uishi kwa makande kila siku, siku zote unapofuata mkopo jiridhishe mara mia moja kwamba una uhakika wa kile unataka kukifanya, kweli kitalipa huo mkopo pamoja na riba, la sivyo kaa mbali.