Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Kweli kabisa umeongea point huyu anaonekana anaweza kuuza hata nyumba kwa njaa ya siku mojaKwa hili nakukatalia mbali mleta mada, jieupeshe kabisa kusaka mkopo kwa kutumia ardhi au urithi wako.
Bora uishi kwa makande kila siku, siku zote unapofuata mkopo jiridhishe mara mia moja kwamba una uhakika wa kile unataka kukifanya, kweli kitalipa huo mkopo pamoja na riba, la sivyo kaa mbali.