Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Umesoma ushauri wangu!?Hehehe Watu wnafungua nyuzi na kuandika sana Mjadala: Je, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una Faida gani na kwa manufaa ya nani?
Umesoma ushauri wangu!?
Vipi kuhusu Mingingo!? Wameichukua waganda au!?
Vipi kuhusu Mingingo mbona unapotezea. Mseveni kawafinya. Mseveni ameua wanajeshi wakenya zaidi ya 3,000. Mmekaa kimya tu.Nilishangaa kusoma uzi kwamba hamruhusiwi kuendesha magari huko kwao, lazima muombe leseni upya...
Vipi kuhusu Mingingo mbona unapotezea. Mseveni kawafinya. Mseveni ameua wanajeshi wakenya zaidi ya 3,000. Mmekaa kimya tu.
Kwanini hutaki kunijibu!? Mingingo Museven kaibeba!?Museveni hana jeuri ya kuua hata mwanajeshi mmoja wa Kenya, naona Zenji ni mfupa uliomshinda fisi mpaka umekimbilia jiwe la Migingo....hehehe!!!
Kwanini hutaki kunijibu!? Mingingo Museven kaibeba!?
Nasikia eti wanajeshi 3,000 waliouliwa na Museven walichomwa moto. Hivi ni kweli!?
Nikisikia issue ya Ilemi Triangle huwa natokwa machozi namna ndugu zetu wakenya wanavyoukiwa na wa Ethiopia.Hhehehe Jiwe la Migingo halitofuta hicho mlichowafanyia hao, sema kiaina naona wanaendelea kufanikiwa kujitoa, nilisoma sehemu wamewasilisha UN
Nikisikia issue ya Ilemi Triangle huwa natokwa machozi namna ndugu zetu wakenya wanavyoukiwa na wa Ethiopia.
Natamani nije kuwasaidia tuwaondoe wahabeshi.
Nasikia wasomali wanalengo la kuichukua Garissa na Mombada, ni kweli!!?Halafu sasa rais wa JMT ni wa kwao, hehehe yaani tu basi....nyie mumepewa makamu ambaye kazi yake kubwa ni kutembea na mkasi mfukoni wa kukata utepe, nimejikuta nacheka sana hapa kuna nyuzi huwa nazisoma wanavyowabeza nyie.
Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika
Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika. Kwa kudra za Mwenyezi Mungu...www.jamiiforums.com
Nilikua natafuta huu uzi, nimeupata hehehe Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?Nasikia wasomali wanalengo la kuichukua Garissa na Mombada, ni kweli!!?
Huyo Samia Suluhu anaendeshwa na kamati ya Kikwete kaa ukilijua hilo.Halafu sasa rais wa JMT ni wa kwao, hehehe yaani tu basi....nyie mumepewa makamu ambaye kazi yake kubwa ni kutembea na mkasi mfukoni wa kukata utepe, nimejikuta nacheka sana hapa kuna nyuzi huwa nazisoma wanavyowabeza nyie.
Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika
Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika. Kwa kudra za Mwenyezi Mungu...www.jamiiforums.com