Nikisikia issue ya Ilemi Triangle huwa natokwa machozi namna ndugu zetu wakenya wanavyoukiwa na wa Ethiopia.
Natamani nije kuwasaidia tuwaondoe wahabeshi.

Halafu sasa rais wa JMT ni wa kwao, hehehe yaani tu basi....nyie mumepewa makamu ambaye kazi yake kubwa ni kutembea na mkasi mfukoni wa kukata utepe, nimejikuta nacheka sana hapa kuna nyuzi huwa nazisoma wanavyowabeza nyie.
Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika. Kwa kudra za Mwenyezi Mungu...

Huyo Samia Suluhu anaendeshwa na kamati ya Kikwete kaa ukilijua hilo.
Hiyo Zanzibar wanaotaka kujitoa ni wachache wasiojielewa wengi wanapenda muungano ubaki kwasababu wanajua hawajiwezi wasomi hawana,viwanda hawana,nyezo kuu za kiuchumi hawana.Sahau Zanzibar kujitawala labda karibia na kiama ndio itajitawala .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.