Sources of Tanzanian external debts

Sources of Tanzanian external debts

Nilishangaa kusoma uzi kwamba hamruhusiwi kuendesha magari huko kwao, lazima muombe leseni upya...
Vipi kuhusu Mingingo mbona unapotezea. Mseveni kawafinya. Mseveni ameua wanajeshi wakenya zaidi ya 3,000. Mmekaa kimya tu.
 
Museveni hana jeuri ya kuua hata mwanajeshi mmoja wa Kenya, naona Zenji ni mfupa uliomshinda fisi mpaka umekimbilia jiwe la Migingo....hehehe!!!
 
Kwanini hutaki kunijibu!? Mingingo Museven kaibeba!?
Nasikia eti wanajeshi 3,000 waliouliwa na Museven walichomwa moto. Hivi ni kweli!?
 
Hhehehe Jiwe la Migingo halitofuta hicho mlichowafanyia hao, sema kiaina naona wanaendelea kufanikiwa kujitoa, nilisoma sehemu wamewasilisha UN
 
Nikisikia issue ya Ilemi Triangle huwa natokwa machozi namna ndugu zetu wakenya wanavyoukiwa na wa Ethiopia.
Natamani nije kuwasaidia tuwaondoe wahabeshi.
 
Halafu sasa rais wa JMT ni wa kwao, hehehe yaani tu basi....nyie mumepewa makamu ambaye kazi yake kubwa ni kutembea na mkasi mfukoni wa kukata utepe, nimejikuta nacheka sana hapa kuna nyuzi huwa nazisoma wanavyowabeza nyie.
 
Nasikia wasomali wanalengo la kuichukua Garissa na Mombada, ni kweli!!?
 
Halafu sasa rais wa JMT ni wa kwao, hehehe yaani tu basi....nyie mumepewa makamu ambaye kazi yake kubwa ni kutembea na mkasi mfukoni wa kukata utepe, nimejikuta nacheka sana hapa kuna nyuzi huwa nazisoma wanavyowabeza nyie.
Huyo Samia Suluhu anaendeshwa na kamati ya Kikwete kaa ukilijua hilo.
Hiyo Zanzibar wanaotaka kujitoa ni wachache wasiojielewa wengi wanapenda muungano ubaki kwasababu wanajua hawajiwezi wasomi hawana,viwanda hawana,nyezo kuu za kiuchumi hawana.Sahau Zanzibar kujitawala labda karibia na kiama ndio itajitawala .
 
Back
Top Bottom