Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Timu ya taifa ya Afrika Kusini maarufu kama Bafana Bafana wameshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga DR Congo kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya droo 0-0 ndani ya dakika 90.
Golikipa Ronwen Williams wa Bafana Bafana kwa mara nyingine aliibuka shujaa baada ya kuokoa mikwaju miwili ya DRC ikiwemo mkwaju wa nahodha Chancel Mbemba.
Kwa matokeo hayo Bafana Bafana wataondoka na Dola Milioni 3 kama zawadi ya mshindi wa tatu.
Hongera sana kwa Bafana Bafana.