South Africa to relax visa rule for Kenyans

Wachawi utawajuwa tuu, umeshaanza kuleta imani zako za kichawi.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ni nani asiyejua kuwa bongolala mnapenda kuwawinda albino wa Mola na kuwachinja kama kuku?
 
Acha kupiga fix watu, mimi nakwenda South Africa mara kwa mara siombi viza ubalozini napewa entry Airport.

Unapokuwa muongo ni vizuri uwe na kumbukumbu.
Hujui nafanya nini SA unaanza kudai napiga fix! Anyways, call it a permit! I have a permit and I got it within a week after applying.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ni nani asiyejua kuwa bongolala mnapenda kuwawinda albino wa Mola na kuwachinja kama kuku?
Ni wewe ndio umeleta haya mauchwai hapa, lazima utakuwa unayajuwa. Naona unaanza kutangaza biashara hapa. Ain't my thing.
 
Ni wewe ndio umeleta haya mauchwai hapa, lazima utakuwa unayajuwa. Naona unaanza kutangaza biashara hapa. Ain't my thing.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€huna hoja
 
Hata Mimi nimeshangaa labda Maana ya PAN AFRICANISM imebadilika
 
Hivi sababu ilikuwa ni nini hadi wakenya kupata visa za SA ikawa ngumu kuliko hata za ulaya na marekani?

Nina rafiki yangu ameapply sasa ni miezi miwili hajapata!! Wakati wabongo tunaapply ndani ya wiki unabeba visa yako.
Wanaogopa mtapeleka ugonjwa wenu wa ukabila kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…