South Africa yafuta viza kwa nchi ya Ghana, Kenya endeleeni kuvuta subira.

Aaaaaweee...kwhyo unapinga km watanzania hawaendi arabuni kufanya kazi za ndani...kwn akili zenu huaga ziko vipi aisee
Sipendi stories za vijiwe vya gahawa. Lete ushahidi ya watanzania wanaoteseka Arabun.
 
Naona ume support xenophobic south africa ni sawa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]kweli una mahaba sana na sauzi...ndo manake mnateseka kule
 
Hv ardhi haimilikiwi na kenyatta tena ..ni wazungu sio...naona uko desperate sana...
 
Aaaaaweee...kwhyo unapinga km watanzania hawaendi arabuni kufanya kazi za ndani...kwn akili zenu huaga ziko vipi aisee

Kwa hiyo huo ndiyo ushahidi wako unaothibitisha kuhusu waTanzania wanaoteseka uarabuni.
 
Ndio nikakuuliza wapinga km hakuna watanzania wanaoenda arabuni kufanya kazi za utumwa...km unapinga sitobishana na wewe kuhusu kitu amabacho kipo wazi...

Kenya mnateseka, sauzi vile vile...yani kila mahali mkienda nyie mnakomalia kazi za kuunga unga tu
Kwa hiyo huo ndiyo ushahidi wako unaothibitisha kuhusu waTanzania wanaoteseka uarabuni.
 
Huna hoja, kaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…