Ninarudia tena, watanzania sio watu wanaopenda sifa kama wakenya, tatizo la wakenya ni kupiga kelele sana kuliko vitendo, ndio sababu wakati Tanzania inafanya mambo makubwa, Kenya inazidi kujikuta katika matatizo ya Madeni, njaa, rushwa na miradi kufanyika chini ya kiwango.
Hakuna mtu yeyote toka "East and Central Africa aliyewekeza pesa nyingi na miradi mikubwa South Africa kama Bakhresa, tena viwanda vya chakula na vifungashio, lakini hakuna mtanzania hata mmoja abayepiga kelele.
Wakenya wengi wameajiriwa katika Hoteli za South Africa, na baadhi ni walimu, wachache sana ambao wamejiajiri na kutengeneza ajira, lakini kelele haziishi kila siku. Baakhresa pekee ametengeneza ajiri nyingi huko South Africa, kuliko wakenya wote