South Africa yafuta viza kwa nchi ya Ghana, Kenya endeleeni kuvuta subira.

No, jomo Kenyatta refused first, Nyerere was ready to let him be de president, but he refused Nyerere's ideas and chose the selfish way, creating inequality and tribalism through betraying his fellow Kenyans bcoz they adhered to Nyerere's ideas, which ofcoz, with support from the colonialists.
Now you may think we're waay behind you, no way my guy, wachana na hizo GDP nonsense. Our economy is growing in a stable environment, EA is feeling the heat, and we're just beginning.
Looking at Tanzania currently, Nashukuru Kenyatta kukataa huo muungano, we could have been a bigger LDC Nation of more than 150 million poor people.
Vipi kuhusu kuwasaliti walipokua wanauliwa na kukojolewa na wazungu wakati ninyi mnashirikiana na wazungu?. Tatizo lenu ninyi hamna ubinadamu" humanity ", kila kitu mnahusisha na pesa au material gain, that's why you kill each other like wild animals.
Sasa hao "Mliowakomboa" hawatambui Tanzania wanawachapa na kuwaua kwenye streets zao tofauti na Wakenya ambao wanakaziwa Visa kwa kuwa Serikali yao inapokea hela nyingi kutoka kwa Wakenya hao.
Nyinyi ni kupe na ndio maana mnatwangwa Kama burukenge huko 😭😭😭
 
images
Hizi ni kelele za chura tu, Kenya inashikilia nafasi ya sita kwenye orodha ya 'Africa's most strongest passports' by World Economic Forum. Tanzania haipo hata kwenye top 20 Afrika.
 
Aha haa
Stronger in which aspect?
 
Wako wengi tunajua,ungeuliza wanafanya nini huko?,compare wakenya walioko SA,majority wanafanya biashara waalimu kwenye vyuo vyao na pia wengi ni wababa wenye nyumba kule,tofauti na watanzania ambao tunajua na mwenyewe unajua wanachokifanya huko.
Mkenya bwana
 
images
Hizi ni kelele za chura tu, Kenya inashikilia nafasi ya sita kwenye orodha ya 'Africa's most strongest passports' by World Economic Forum. Tanzania haipo hata kwenye top 20 Afrika.
Hahahaha, topic inahusu South Africa kuikatalia Kenya kufuta visa, kama unataka kuzungumzia strong passport fungua uzi tukutoe kamasi.
 
Strong passport ina maana kwamba Kenya ndio ya sita Afrika, kwa wingi wa
nchi ambazo mtu aliye na pasipoti ya Kenya anakubaliwa kuingia bila visa. Hapa Afrika na nje ya Afrika. Tz haipo hata kwenye top 20 Afrika. Pasipoti ya Kenya inashikilia nafasi ya 68 duniani.
Aha haa
Stronger in which aspect?
 
Strong passport ina maana kwamba Kenya ndio ya sita Afrika, kwa wingi wa
nchi ambazo mtu aliye na pasipoti ya Kenya anakubaliwa kuingia bila visa. Hapa Afrika na nje ya Afrika. Tz haipo kwenye top 20.
Fungua uzi wa "Strong passport" ili tuchangie kama hutokimbia mada, acha kutoka nje ya mada husika. Mkijifanya ninyi ni wajanja wa kubadilisha mada, sisi ni zaidi yenu, jionee biggest and ultra modern Airport in East Africa.
 
Hahahaha, topic inahusu South Africa kuikatalia Kenya kufuta visa, kama unataka kuzungumzia strong passport fungua uzi tukutoe kamasi.
Boss, mada si ni kuhusu visa? Ambayo wakenya hawahitaji ili wakubaliwe kuingia kwenye nchi nyingi zaidi ya watanzania, hapa Afrika na nje ya bara hili pia. Unahitaji nikuchoree kibonzo ili uelewe au utaendelea kujitia hamnazo?
 
That's a characteristic of mibongolala. Always shifting goal posts when cornerd. usishangae sana
 
Mada ni kuhusu South Africa kukataa kufuta visa kwa Kenya, wakati Kenya imefuta visa kwa SA, hii ni dalili kwamba Kenya haina umuhimu wowote kwa South Africa.
 
Achana nao hawa na kelele zao, wakenya wanakubaliwa kuingia bila visa kwenye nchi zaidi ya sabini duniani. Ushelisheli wanaongoza Afrika, wanakubaliwa kuingia nchi 137 visa free, ya pili Mauritius, Kenya ya sita. Sasa Tz ambao hawapo hata kwenye top 20 Afrika ndio leo wanatuambia kwamba sijui tumekataliwa S.A.
 
Kitendo cha South Africa kukataa kufuta visa kwa Kenya wakati Kenya imefuta visa kwa South Africa ni dalili ya wazi kwamba Kenya is a shithole country as far as South Africa and Kenya relationship is concerned.
 
Mada ni kuhusu South Africa kukataa kufuta visa kwa Kenya, wakati Kenya imefuta visa kwa SA, hii ni dalili kwamba Kenya haina umuhimu wowote kwa South Africa.
Wakenya wanakubaliwa kuingia bila visa kwenye nchi nyingi zaidi ya zile ambazo Kenya inakubali wananchi wake kuingia nchini bila visa. Nyinyi hapo mnawaruhusu wengi kuingia Tanzania ila kwao hamkubaliwi. Kwahivyo inamaana kwamba dunia haioni umuhimu wa Tz?
 
2019 women’s Volleyball African Nations Championship
Kenya v Senegal 3-0
Set 1 KEN 25 SEN 13
Set 2 KEN 25 SEN 13
Set 3 KEN 25 SEN 20
Kenya through to the final. #MalkiaStrikers #PamojaNaMalkiaStrikers #TheScoreKE

Tumelipiza hasira za Afcon,both Algeria na Senegal
 
Back
Top Bottom