South Africa yafuta viza kwa nchi ya Ghana, Kenya endeleeni kuvuta subira.

South Africa yafuta viza kwa nchi ya Ghana, Kenya endeleeni kuvuta subira.



kenyan in the shipping business in South Africa


Hii ni kukuonyesha kwamba sisi sio watu wa kupiga kelele kama ninyi. Lengo la huu Uzi sio kuonyesha nguvu za investment, Tafadhali turudi katika somo la Uzi huu.
 
Bakhresaa amefungua viwanda vikubwa huko South Africa, hakuna hata mkenya mmoja anaweza fikia hiyo investment, mbona hatupigi kelele?. Ninyi wakenya zaidi ya Marathon runners mnakitu gani zaidi?.
Eti hampigi kelele na kuna nyuzi humu ndani mnajigamba kwamba bakhresaa ameteka soko la SA.
 
East Afrika kuna passport moja tu which have strong secret security ingredients. Hata marekani wallenda kui study. Guess what!!?
Eti ingredients?[emoji15] Sijakuelewa, unamaanisha ingredients kama 'kafirifi' kwa umbaliii kwenye kanyama dry fry na 'mokimo' au? [emoji38][emoji38]
 
Eti ingredients?[emoji15] Sijakuelewa, unamaanisha ingredients kama 'kafirifi' kwa umbaliii kwenye kanyama dry fry na 'mokimo' au? [emoji38][emoji38]

Teh teh teh 😋😋😀😀
Unaweza chakula tu.
🍖🍖🍗
 
Kwani hii tz ni bahreza na dweji tu,,,
Seems hawa waarabu wanacontrol nusu ya economy ya tz
 
Nani awafutie Visa matapeli....hahahaha
Sisi tunapaa nakushuka O'Tambo Int Airport kama naenda naenda zangu Mwanza. Ni nauli yako tu hahahahaha

Watasubiri sana

Hiyo imeanza siyo hata miaka kumi iliyopita mkuu.

Mimi mara yangu ya kwanza kushuka bondeni ilikuwa 2008 niliomba visa na kusubiri wiki moja ndo ngoma ikatoka.

Of course baada ya hapo nimeshuka bondeni kama mara nne hivi bila visa kama ilivyokuwa zamani.
 
Sasa how will they make their money wakitufutia visa? You know you Kenyans are serious travellers.Alafu hakuna country hulamba wasouzi matako kama tanzanians
hata wewe wameshakulamba matako kibaya zaidi na dole wakakuingiza
 
Back
Top Bottom