South Africa yafuta viza kwa nchi ya Ghana, Kenya endeleeni kuvuta subira.

Vipi kuhusu kuwasaliti walipokua wanauliwa na kukojolewa na wazungu wakati ninyi mnashirikiana na wazungu?. Tatizo lenu ninyi hamna ubinadamu" humanity ", kila kitu mnahusisha na pesa au material gain, that's why you kill each other like wild animals.
Maybe Kenya didn't put enough pressure against apartheid but hio haimanishi tuliwa support.Kenya had a non interference policy at the time.
Remember that at the same time Kenya was going through some tough political times meaning we had more pressing issues to deal with.
 
Supermarkets SA kama Shoprite na Game Zina jaribu ku infitrate Kenya lakini competition in the Kenyan market is too high for them.
Ukienda other African countries utapata wao ndio dominant players kwa retail sector .Pia utapata MTN na Vodacom in almost all African countries apart from Kenya.

Vodacom Haipo Kenya? Who owns Safaricom?
 
Safaricom has a majority Kenyan shareholding.alafu other share holders ni Vodafone ambayo si kampuni ya SouthAfrica.

Sijui unaongea nini msee, Both Vodacom and Safaricom are owned by Vodafone.
 
Hamna nchi amabayo ina ubaguzi kw raia wa kigeni km tanzania...

Yani mtu km ywajua wewe si mtanzania tu...jamaa ywakuita raia haramu...
Bora kulamba miguu ya waafrika kuliko kulamba miguu ya wazungu na kuwasaliti waafrika ili kuwapendeszesha wazungu. Kumbe tabia ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe inazaa hata kuwabagua waafrika wengine. Jaguar aliyoyasema yamo ndani ya wakenya wote, Yale ndio mawazo ya wakenya wengi. Hakuna nchi ya waafrika itakayo waamini ninyi wasaliti
 
Lkn bado wakilianzisha hawaachi salama...wanawaua mpka nyinyi...sasa tueleweje
Vipi kuhusu kuwasaliti walipokua wanauliwa na kukojolewa na wazungu wakati ninyi mnashirikiana na wazungu?. Tatizo lenu ninyi hamna ubinadamu" humanity ", kila kitu mnahusisha na pesa au material gain, that's why you kill each other like wild animals.
 
Bwahahaaaa...lkn safaricom serikali pia iko na ownership...wacha shareholders wa kikenya kwanza...yani kenya ukiweka kampuni mtakula sahani moja na wakenya tu...sio km nynyi akina barrick waliwachakaza na mpka wanataka muregee kwenye kumi na nane zao wawapige za uso tena
Sijui unaongea nini msee, Both Vodacom and Safaricom are owned by Vodafone.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mru wa kibera akija dar anapanga nyumba kali sana...kw sababu kw mwezi jamaa ywalipia kodi+umeme...

Pia usiwasahau watu wakuja kutafuta life nairobi...huishia kibera...km vile wachuuzi na omba omba..
Heri kuwa kibara kwa watu weusi kuliko kuwa vibaraka wa wazungu. Mliwasaliti waafrica wenzenu, vipi Leo mnajifanya kuhimiza umoja na utengemano wa Africa?, nendeni mkajiunge na umoja wa Ulaya, huku Africa hamuhitajiki?. Wasaliti wakubwa ninyi.
 
Supermarkets SA kama Shoprite na Game Zina jaribu ku infitrate Kenya lakini competition in the Kenyan market is too high for them.
Ukienda other African countries utapata wao ndio dominant players kwa retail sector .Pia utapata MTN na Vodacom in almost all African countries apart from Kenya.
Hiyo ndio inawauma. They even tried with Castle Larger bila mafanikio
 
Bora kulamba miguu ya waafrika kuliko kulamba miguu ya wazungu na kuwasaliti waafrika ili kuwapendeszesha wazungu. Kumbe tabia ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe inazaa hata kuwabagua waafrika wengine. Jaguar aliyoyasema yamo ndani ya wakenya wote, Yale ndio mawazo ya wakenya wengi. Hakuna nchi ya waafrika itakayo waamini ninyi wasaliti
South Africa kwa kiasi kikubwa ni playing ground ya wazungu ndo maana hata Uhuru walipata juzi tu baada ya nchi zote za Africa kupata uhuru. Hadi wa leo, uchumi wa SA inashikiliwa na wazungu na mtu mweusi hana usemi kule. SA is a perfect example of "ukoloni mambo leo" so hujui unachosema wewe. Halaju kitu ingine ni kwamba nyinyi na wasauzi hamna tofauti. Wote ni Wazembe wa kutupwa. Yani sio watu wa kujituma no wonder ukienda huko utapata wanaijeria na wakenya wanafanya vizuri zaidi kibiashara na kikazi. The effect is that they feel foreigners have taken up their jobs leading to xenophobic attacks as witnessed in the recent past. Uvivu wa Watanzania na wasauzi unaendana sako kwa bako
 
Maybe Kenya didn't put enough pressure against apartheid but hio haimanishi tuliwa support.Kenya had a non interference policy at the time.
Remember that at the same time Kenya was going through some tough political times meaning we had more pressing issues to deal with.
Nchi gani ambayo haikuwa na matatizo, ninyi ni kawaida yenu kuthamini uchumi kuliko" humanity". Ninyi mtafanya lolote lile lenye maslahi ya kiuchumi, ndio sababu mliamua kuwakumbatia wazungu ambao waliwahakikishia kuwajengea uchumi imara wakati sisi tulitengwa na kuwekewa vikwazo kwasababu ya kuwapigania waafrica waliokuwa chini ya wazungu.

Katika kipindi kile kigumu, hakuna mkenya aliyekua akitaka kuhusishwa na Tanzania, mlijiona mpo na wazungu kwahiyo hamkutuhitaji kabisa, sasa hivi mbajaribu kutufanya tuwe marafiki kwasababu mnataka kufaidika kiuchumi, China mliyoitenga sasa hivi ndio mnaowakimbilia, South Africa mliowasaliti sasa hivi ndio mbakimbilia na kuomba wawafutie visa. Ninyi ni watu wabinafsi sana, hatuwezi kuwaamini.
 
South Africa kwa kiasi kikubwa ni playing ground ya wazungu ndo maana hata Uhuru walipata juzi tu baada ya nchi zote za Africa kupata uhuru. Hadi wa leo, uchumi wa SA inashikiliwa na wazungu na mtu mweusi hana usemi kule. SA is a perfect example of "ukoloni mambo leo" so hujui unachosema wewe. Halaju kitu ingine ni kwamba nyinyi na wasauzi hamna tofauti. Wote ni Wazembe wa kutupwa. Yani sio watu wa kujituma no wonder ukienda huko utapata wanaijeria na wakenya wanafanya vizuri zaidi kibiashara na kikazi. The effect is that they feel foreigners have taken up their jobs leading to xenophobic attacks as witnessed in the recent past. Uvivu wa Watanzania na wasauzi unaendana sako kwa bako
Xenophobic aliyoisema Jaguar umeisahau?. South Africa wanapigania kupata Ardhi yao na kumilikishwa uchumi kwa black majority through " Black Economic Empowerment, just 25 years after their independence. Ninyi wakenya uchumi wenu na ardhi yenu vinamilikiwa na wazungu nearly 60 years after your indepence, na hakuna juhudi zozote zinazofanyika kurudisha uchumi wenu mikononi mwa wakenya.

Kinachozungumzwa hapa ni kuhusu tabia yenu ya kuwasaliti waafrika na kuamua kushirikiana na wazungu, tabia hii mlianza kyionyesha kipindi cha ukombozi na hadi sasa hivi mnaendelea nayo. Nchi za EAC zilipokubaliana kupiga marufuku nguo za mitumba toka Ulaya na Marekani, Kenya iliamua kujitoa pale USA ilipozitishia nchi za EAC, tena mlijitoa bila kushauriana na nchi zingine wabachama. Ninyi ni vibaraka wa wazungu acheni Maneno Mengi.
 
Vodacom Haipo Kenya? Who owns Safaricom?
Hiyo number SIM card ya vodacom inaanza na code gani hapa Kenya? And by the way, Vodocom doesn't own Safaricom. It's a shareholder if you know what that means bongolala
 
Xenophobic aliyoisema Jaguar umeisahau?. South Africa wanapigania kupata Ardhi yao na kumilikishwa uchumi kwa black majority through " Black Economic Empowerment, just 25 years after their independence. Ninyi wakenya uchumi wenu na ardhi yenu vinamilikiwa na wazungu nearly 60 years after your indepence, na hakuna juhudi zozote zinazofanyika kurudisha uchumi wenu mikononi mwa wakenya.

Kinachozungumzwa hapa ni kuhusu tabia yenu ya kuwasaliti waafrika na kuamua kushirikiana na wazungu, tabia hii mlianza kyionyesha kipindi cha ukombozi na hadi sasa hivi mnaendelea nayo. Nchi za EAC zilipokubaliana kupiga marufuku nguo za mitumba toka Ulaya na Marekani, Kenya iliamua kujitoa pale USA ilipozitishia nchi za EAC, tena mlijitoa bila kushauriana na nchi zingine wabachama. Ninyi ni vibaraka wa wazungu acheni Maneno Mengi.
Using xenophobic attack and " Black economic empowerment " in word sentence while trying to to prove a point just shows how dump and misinformed you are. How can the xenophobic attack to relate to empowering black people economically while it's the same black people who were being killed and maimed on South African streets? Hapo kuhusu mitumba, am very sure you are wearing a mitumba underwear
 
Huna akili ya kuelewa ninachomaanisha, rudi tena soma vizuri ili uweze kupata kile nilichokiandika, kumbuka kwamba unahadiliana na akili kubwa, kwahiyo soma kwa makini posts zangu.
 
Kama wewe ndio akili kubwa Tanzania nzima basi nimesarenda
 
Back
Top Bottom