South African Airways kuanza tena Safar za Dar-JHB

South African Airways kuanza tena Safar za Dar-JHB

Acha uongo. KQ unaondoka saa 9 usiku (kuna wakati mnapita Zanzibar then Nairobi unaweza ku-connect Nairobi saa 1 au saa 2 na ukafika Johannesburg saa 3 au saa 4 asubuhi.
** Kwa timings nadhani Malawian bado wanaongoza mnaondoka Dar saa 1 na dakika 40 asubuhi mnafika Johannesburg saa 5 asubuhi, misosi kama yote, huitaji kudamka kwenda airport. Same hata siku ya kurudi
Hii ndio shida ya kusoma memkwa, hujui kwamba sa 9 usiku ama 10 usiku ndio sa 9 alfajiri ama 10 alfajiri niliyoandika mimi.

Hiyo safari ya KQ kwenda Afrika Kusini mimi ni frequent fyier, naijua vizuri.
 
Air link wanakupa allowance ya luggage 24kg. Kuna siku walinisumbua hapo airport na kuna kijamaa kiliniammbia nimpe wajomba 50 ili aniruhusu na mizigo yangu iliyokuwa imezidi. Anyway sikumpa na nilifanikiwa kupita. angalau ATCL wana allowance nzuri ya 68kg. Ninashukuru kwa ATC kurudi kwenye hii route.
 
Back
Top Bottom