Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Nimeshuhudia mara nyingi katika bara la Afrika ukiwatoa waarabu na nchi ya kusini mwa afrika zikitoa maonyo,msimamo na ushauri katika kila jambo(matukio) yanaloendelea katika baadhi ya nchi mfano vita ya GAZA na hiyo ndiyo maana ya diplomasia(sio kutafuta wawekezaji tu) lazima tulaani na kukemea kwenye dosari yeyote kwa sababu sisi sio kisiwa tunatakiwa kuonyesha misingi yetu kwa nchi nyengine.Ila tatizo njaa zetu tunahofia tunaweza kupoteza interest kwa wahisani shabash!!!.Nchi mfano TANZANIA alikuwa ni BABA wa ukombozi afrika na duniani kote ila kwa sasa tumebakia na historia yetu na tusije kushangaa hizo nchi tulowasaidia hawajatoa appreciation hata kidunchu.