ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Tundaman kwenye Simba day aliingiza jeneza iliyokuwa na zeruzeru ndani ili kumdhihaki Manara ambaye alihamia Yanga
Jeneza ni mauti baada ya tukio hilo kweli hadi Leo Simba wapo kwenye mauti, Toka wamdhihaki Manara na jeneza lao hawajapata kombe na wala hawatapa kikombe chochote
Leo kwenye utambulisho wa Jonathan Sowah, ameonekana akichana picha ya Eng Hersi Said, Rais wa Yanga
Tafsiri yake katika ulimwengu wa roho:
Jonathan Sowah alitamka kuwa Eng Hersi Said ni kama baba yake, kwenye ulimwengu wa roho ulikubali kuwa Sowah ni mtoto wa Eng Hersi kwakuwa alitamka kwenye vyombo vya habari
Kitendo chake cha kuachana picha kumdhihaki na kumdhalilisha baba yake, ni kujizibia mafanikio na laana itamwandama huko aendeko na Simba yake walioratibu huu upumbavu
Simba jifunze tafsiri ya mambo ya kiroho kabla hamjajiingiza kwenye mikosi na laana