Habari ndugu Mchungaji Mwamposa,?Tundaman kwenye Simba day aliingiza jeneza iliyokuwa na zeruzeru ndani ili kumdhihaki Manara ambaye alihamia Yanga
Jeneza ni mauti baada ya tukio hilo kweli hadi Leo Simba wapo kwenye mauti, Toka wamdhihaki Manara na jeneza lao hawajapata kombe na wala hawatapa kikombe chochote
Leo kwenye utambulisho wa Jonathan Sowah, ameonekana akichana picha ya Eng Hersi Said, Rais wa Yanga
Tafsiri yake katika ulimwengu wa roho:
Jonathan Sowah alitamka kuwa Eng Hersi Said ni kama baba yake, kwenye ulimwengu wa roho ulikubali kuwa Sowah ni mtoto wa Eng Hersi kwakuwa alitamka kwenye vyombo vya habari
Kitendo chake cha kuachana picha kumdhihaki na kumdhalilisha baba yake, ni kujizibia mafanikio na laana itamwandama huko aendeko na Simba yake walioratibu huu upumbavu
Simba jifunze tafsiri ya mambo ya kiroho kabla hamjajiingiza kwenye mikosi na laana
Umekosa vibuyu na mkia wa mbuzi tu.Tundaman kwenye Simba day aliingiza jeneza iliyokuwa na zeruzeru ndani ili kumdhihaki Manara ambaye alihamia Yanga
Jeneza ni mauti baada ya tukio hilo kweli hadi Leo Simba wapo kwenye mauti, Toka wamdhihaki Manara na jeneza lao hawajapata kombe na wala hawatapa kikombe chochote
Leo kwenye utambulisho wa Jonathan Sowah, ameonekana akichana picha ya Eng Hersi Said, Rais wa Yanga
Tafsiri yake katika ulimwengu wa roho:
Jonathan Sowah alitamka kuwa Eng Hersi Said ni kama baba yake, kwenye ulimwengu wa roho ulikubali kuwa Sowah ni mtoto wa Eng Hersi kwakuwa alitamka kwenye vyombo vya habari
Kitendo chake cha kuachana picha kumdhihaki na kumdhalilisha baba yake, ni kujizibia mafanikio na laana itamwandama huko aendeko na Simba yake walioratibu huu upumbavu
Simba jifunze tafsiri ya mambo ya kiroho kabla hamjajiingiza kwenye mikosi na laana
Naandika kama mganga..Umekosa vibuyu na mkia wa mbuzi tu.
Labda tafsiri za Waganga uzuri Simba tuna Masheikh na Wachungaji wengi tu.Tundaman kwenye Simba day aliingiza jeneza iliyokuwa na zeruzeru ndani ili kumdhihaki Manara ambaye alihamia Yanga
Jeneza ni mauti baada ya tukio hilo kweli hadi Leo Simba wapo kwenye mauti, Toka wamdhihaki Manara na jeneza lao hawajapata kombe na wala hawatapa kikombe chochote
Leo kwenye utambulisho wa Jonathan Sowah, ameonekana akichana picha ya Eng Hersi Said, Rais wa Yanga
Tafsiri yake katika ulimwengu wa roho:
Jonathan Sowah alitamka kuwa Eng Hersi Said ni kama baba yake, kwenye ulimwengu wa roho ulikubali kuwa Sowah ni mtoto wa Eng Hersi kwakuwa alitamka kwenye vyombo vya habari
Kitendo chake cha kuachana picha kumdhihaki na kumdhalilisha baba yake, ni kujizibia mafanikio na laana itamwandama huko aendeko na Simba yake walioratibu huu upumbavu
Simba jifunze tafsiri ya mambo ya kiroho kabla hamjajiingiza kwenye mikosi na laana
Mpira hauchezwi rohoni, asipoperform sababu siyo roho.Kwasasa hauta eleweka, ila baada ya muda watafukua ili bandiko lako na wataliweka hadharani.
Kwakua mambo ya ulimwengu wa roho ni ya kipiuzi kwa wasio amini.
SawaMpira hauchezwi rohoni, asipoperform sababu siyo roho.
Mtajijua yeye kesha chana , basiKulikuwa na haja gani ya kuchana picha ya engr??
hahahahahHabari ndugu Mchungaji Mwamposa,?