Hakika..Kumbe tupo wengi.
Soya is a super food
Asante Sana kaka. Kwa hiyo nisiwe Na wasiwasi kuhusu soya hii ninayo nunua kariakoo kwamba inaweza kuwa GMO?I m not sure kwa aina ya soya inayouzwa K/koo lkn kwa Tanzania soya inalimwa kwa wingi Songea na watumiaji wakubwa wa soya ni animal feed producers. Ukiachilia Songea, soya nyingine inatoka Uganda kupitia mpaka wa Mtukula.
Aisee mkuu niliwahi kuambiwa kua GMO hatuwezi kuzikwepa hasa ukiwa unanunua mazao ya chakula mjini. Hata kama yanalimwa hapa nchini wanaotoa mbegu wanakuwa wameshafanya yaoAsante Sana kaka. Kwa hiyo nisiwe Na wasiwasi kuhusu soya hii ninayo nunua kariakoo kwamba inaweza kuwa GMO?
Npo na hii project ya Soya Songwe, japo nyingi inatoka Zambia, kule sana sana wanaitumia kuitengeneza mafuta ya kula na viwanda wanavyo nadhani "MERU " kwa kule anavyo viwandaAsante Sana kaka
Genetically Modified OrganismGMO ndio kitu gani?
Sijajua ni aina gani ya soya but kwa wingi hua tuna import Kutoka Malawi na zambiaWakuu hivi hii soya bean inayo uzwa madukani/ masokoni kariakoo Na kwingineko jijini Dsm inalimwa wapi?
Concern yangu ni nataka kujua kama ni original au inalimwa hapa hapa Tanzania maana nimesoma Mahali kwamba Soya ni Moja Kati ya bidhaa za kilimo ambazo zinazalishwa katika mfumo Gmo Kwa kiwango kikubwa Sana.
With much thanks in advance