Spaghetti ya leo fupi!

Spaghetti ya leo fupi!

Hahahah...
Huwa wanasema nafaka itumikayo kutengeneza noodles ni tofauti na ile itengenezayo spaghetti...(binafsi sijawahi fuatilia ni nafaka gani hizo labda wote tu-google)...

Of coz zote zipo kama kamba ila noodles huwa zina shapes tofauti tofauti na mara nyingi zipo curled wakati spaghetti huwa imenyooka...

Pia asili ya watu walao noodles na spaghetti ni tofauti...Eastern Asia huko wao ni walaji sana wa noodles wakati Ulaya na nchi za magharibi wao ndio walaji wa spaghetti...

Zaidi ya yote upishi wake huwa ni tofauti...aisee best kuna dish moja ya Kichini huwa inaitwa "re mian" yaani "hot(pepper) noodles" ni tamu balaa

mie sioni tafauti zake best. as long as zote ziko kama kamba mie aaah! kwanza hata macaron na noodles zina tafauti gani zaidi ya shape?
 
Back
Top Bottom