Spain Italia, Ufaransa zimekataa amri ya Marekani ya kuwa walinzi wa Bahari Nyekundu.

Unachanganya mambo.

Ukristo sio dini bali wote wanaomwamini Yesu Christ ndio wa Kristo.

Uislamu ni dini ndio maana ina sharia/mila kama zilivyomila za makabila.
P
Uislamu ni mila na desturi za waarabu na mungu wao allah.

Usichanganye
Uislam sio desturi za na Mila za waarabu.
Uislam ni taratibu za Mungu za kuishi chini ya Sheria zake.
Katika uislam tuna Sheria sio mila.
Ndio kwanza nakushangaa wewe unasema sio dini ilhali hasta mapadri wanakiri ukristo dini.
Maana hakuna Imani pasi na dini.
 
Unachanganya mambo.

Ukristo sio dini bali wote wanaomwamini Yesu Christ ndio wa Kristo.

Uislamu ni dini ndio maana ina sharia/mila kama zilivyomila za makabila.
P
Uislamu ni mila na desturi za waarabu na mungu wao allah.

Usichanganye
Kwanza dini ni nini???
 
Dini ni utaratibu/sharia ambazo binadamu wamejitungia kama ulivyo uislamu.

Yesu Christ alikuja kututafuta tuliopotea sasa ukimwamini na kumkiri kuwa yeye ni Mwana wa Mungu basi utakuwa mkristo.

Uislamu ni mila za kiarabu
 
Yaani nashangaa huyu bwana anajua ku play part yake kama super power.

Kuna kamchezo kanaendelea.

Ni yale yale ya obama akiulizwa na mtoto kuhusu allien akajbu tuna mawasiliano nayo.

Hapa kuna jambo mkuu.
Kamchezo gani[emoji3]
Watu wanamkataa wanaona aliwaaminisha misaada yake kule Ukraine imemhenyesha itakua huko kwengine
Na vita ya majini mbaya maana huna pakujificha houthi akikuona kakuzamisha kwisha habari yako
Kwatafsiri isio rasmi nikwamba United Shits Of Americant inaendelea kupoteza ushawishi wake siku baada ya siku
 
Dini ni utaratibu/sharia ambazo binadamu wamejitungia kama ulivyo uislamu.

Yesu Christ alikuja kututafuta tuliopotea sasa ukimwamini na kumkiri kuwa yeye ni Mwana wa Mungu basi utakuwa mkristo.

Uislamu ni mila za kiarabu
Dini ni utaratibu mzima wamaisha ya kila siku ya mtu kijana
Kuanzia unapoamka unapolala unapofanya kazi mpaka kufa kwako
Ila kuna zile dini za mchongo ambazo zimeundwa na watu kina paul na kina makenzi wanaotaka waumini wao wafe wakamuone yesu
Halaf kuna ile dini mama sasa ya uislam ambayo ndio sahihi ambayo inatakiwa mtu upite humo kwenye maisha yako kuanzia unapoanza kujitambua mpaka kufa
Uislam ni utaratibu sahihi wamaisha ya mwanaadam ambao anatakiwa kuuishi ulioletwa na Muumba mwenyewe
Uislam ungekua umeletwa na mwanaadam usingekataza pombe zinaa kamari na ujinga mwengine ambao kiasili hua vinapendwa na wanaadamu
 
Unachanganya mambo.

Ukristo sio dini bali wote wanaomwamini Yesu Christ ndio wa Kristo.

Uislamu ni dini ndio maana ina sharia/mila kama zilivyomila za makabila.
P
Uislamu ni mila na desturi za waarabu na mungu wao allah.

Usichanganye
Wewe punguni kama wewe elezea Ukirsto wako kama siyo dini Uislam ni ni mfumo wa maisha ya binadamu kuna Waarabu wengi na mila zao Uislam umekuja kuondoa mila zote.
 
⚡️KUVUNJA

Kuporomoka kabisa kwa Operesheni Prosperity Guardian, baada ya Ufaransa, sasa Uhispania na Italia kujiondoa kutoka kwa muungano huu wa wanamaji unaoongozwa na Marekani dhidi ya Houthis.

Hili ni pigo kubwa kwa mkao wa kimataifa wa Marekani na Marekani lazima sasa ikabiliane na Wayemen na Bahrain yenye nguvu na Ushelisheli.
 
Akili zimewarudia sasa maana kule ukraine walibuluzwa wakaingia kwenye ugomvi usiowahusu wao wakawa wanapata hasara mwenzao makampuni yake yanapata faida ya kuuza silaha na gas akawa anawauzia kwa bei ya mara mbili ya sokoni sasa hv anataka kuwabuluza tena kwenye ugomvi wa israel
 
Lile. Likereai amaeliweka mbali huko na huo mlango maana likizamiahwa ni aibu kwa super power maana ndo anachorimgia dunia
 
Aljazeera kasema kuna United Kingdom, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles and Spain na wewe wasemaje?
 
Angalia habari yako lini 21 Dec?
bofya chini hapa…
Habari ya leo 23 Dec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…