Spain Italia, Ufaransa zimekataa amri ya Marekani ya kuwa walinzi wa Bahari Nyekundu.

Spain Italia, Ufaransa zimekataa amri ya Marekani ya kuwa walinzi wa Bahari Nyekundu.

Akili zimewarudia sasa maana kule ukraine walibuluzwa wakaingia kwenye ugomvi usiowahusu wao wakawa wanapata hasara mwenzao makampuni yake yanapata faida ya kuuza silaha na gas akawa anawauzia kwa bei ya mara mbili ya sokoni sasa hv anataka kuwabuluza tena kwenye ugomvi wa israel
Unaonaje Houthi wameingilia ugomvi wa Israel na Gaza wapo sahihi? Na kwanini Marekani asiingilie nae kwenye vita kama Houthi alivyoingilia?
 
Unaonaje Houthi wameingilia ugomvi wa Israel na Gaza wapo sahihi? Na kwanini Marekani asiingilie nae kwenye vita kama Houthi alivyoingilia?
Houthi wanawasaidia wanaoonewa kama anavyofanya us na shost zake kule ukraine
Ila kama anaamua kuingilia aingilie tu si ndio atakua kaishaamua unadhani sisi tutamfanyaje?
 
Msikieni huyu mwanamke wa Kiyahudi anasema nini anasema Saud Arabia na UAE hawataki kuona Gaza inasimamishwa vita na kuna nchi zingine za kiarabu.

Hawataki kuona Hamasiinashinda vita, anasema wanayo ongea kwenye media ni tofauti na wanayo yaongea kwenye private haha sijui hizi aibu Saud Arabia na UAE watazificha wapi

Bado anasema kuna wakati US anawatia pressure wasimamishe vita, laknii warabu hawataki haswa hizo nchi mbili nashaka pia watakuwepo Jordan, Egypt, Morocco, Baharain.

View: https://youtube.com/shorts/GR1oouLbock?si=MxJZDq1nu9uRdNG8
 
🤣🤣
Iran threatens to close Mediterranean over Gaza, without saying how.

Iranian Revolutionary Guards commander said the Mediterranean Sea could be closed if the United States and its allies continued to commit crimes in Gaza.

"They shall soon await the closure of the Mediterranean Sea, (the Strait of) Gibraltar and other waterways," Tasnim quoted Brigadier General Mohammad Reza Naqdi, coordinating commander of the Guards, as saying.
Mashallah
 
Kaka nilikuwa namaanisha yule bwege alileta link iliyopitwa na wakati
 
Houthi wanawasaidia wanaoonewa kama anavyofanya us na shost zake kule ukraine
Ila kama anaamua kuingilia aingilie tu si ndio atakua kaishaamua unadhani sisi tutamfanyaje?
🇾🇪 Afisa mwandamizi wa AnswarAllah:

Wakati wa kujaribu kuzuia kombora la balistiki la Yemeni, israel inahitaji takriban dola milioni 5 kwa kombora la kuingilia kati la Arrow-3.

Wakati mwingine, mfumo wao wa AD hurusha zaidi ya kombora moja kwa lengo moja. Vile vile, kunasa kombora la kivita la Yemeni au ndege isiyo na rubani, ambayo haigharimu zaidi ya dola 2,000, inahitaji muisraeli, Mmarekani, au Saudi kutumia kombora la Patriot au THAAD, kila moja kati ya dola milioni 2-3, na wakati mwingine makombora mengi kurushwa. kwa lengo moja.

(Vita vya kiuchumi vilivyo bora kabisa 🔥)
 
Itan wametangaza kuifunga Hormuz, meli yoyote isipite ikiwa Wamarekeni na vibaraka wake wataendeleza kuuwa raia wa Ghaza.
BREAKING: TAARIFA RASMI YA RAIS WA IRAN

INAITWA KWA AMRI MPYA YA ULIMWENGU

"Lazima tufikirie utaratibu mwingine na mpya wa ulimwengu na hii inahitaji juhudi kubwa.

Kilichotokea tarehe 7 Oktoba ni kwa sababu ya mauaji yaliyofanywa dhidi ya watu wa Palestina kabla ya tarehe hii.

Ujumbe muhimu zaidi tuliobeba ni wa kuikomboa ardhi ya Palestina, na haya ndiyo aliyotangaza hayati Imam Khomeini.

Jumuiya ya Kizayuni na Marekani lazima ziadhibiwe kwa mauaji ya kimbari katika mahakama za kimataifa.

Imethibitika kwa dunia nzima kwamba Marekani inafanya mauaji na mauaji ya halaiki licha ya kuwa na midomo juu ya haki za binadamu.

Baraza linalojiita Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa haliwezi kusimamisha vita dhidi ya Gaza.

Moja ya masuala muhimu ni kuondoa mzingiro wa Gaza, kufungua vivuko vya kufikisha misaada, na kuzuia kufukuzwa kwa watu wa Palestina.

Kushindwa itakuwa hatima ya chombo cha Kizayuni.

Gaza lazima iongozwe na watu kutoka Gaza, na wakati umepita ambapo Merika itaamua hatima ya.
 
Wanaukumbi..

Baadhi ya nchi hazijathibitisha ushiriki wao, hata hivyo, huku zingine zimesema juhudi zao za kusaidia kulinda trafiki ya kibiashara ya Bahari Nyekundu zitakuwa kama sehemu ya makubaliano yaliyopo ya jeshi la maji badala ya operesheni mpya inayoongozwa na Marekani..

Ukosefu wa maelezo na uwazi juu ya kile ambacho nchi zinafanya kumeongeza mkanganyiko kwa kampuni za meli, ambazo baadhi zimekuwa zikielekeza meli mbali na eneo hilo baada ya mashambulio hayo, ambayo Wahouthi wanasema ni jibu la shambulio la Israeli kwenye Ukanda wa Gaza…
==================
Some countries have not confirmed their participation, however, while others have said their efforts to help protect Red Sea commercial traffic will be as part of existing naval agreements rather than the new U.S.-led operation.

The lack of details and clarity over what countries are doing has added to confusion for shipping companies, some of which have been re-routing vessels away from the area after the attacks, which the Houthis say are a response to Israel’s assault on the Gaza Strip.

huyu Rita zainabu serikali inabidi imechukulie kama gaidi yy na magaidi ni kitu kimoja fuatilien nyuzi zake zote…..
Kashakua radicalised
 
Vita ndiyo vimenza upya Israel na magaidi wenzake walivyokuwa wajinga wanapanga mipamgo ya Gaza mpya wakidhani hamna wa kusumbua tena Marekani kaomba msaada wa mataifa mengi kushiriki vita dhidi ya Yemen kaambiwa meli hatoe zake kakataa🤣
 
Unaonaje Houthi wameingilia ugomvi wa Israel na Gaza wapo sahihi? Na kwanini Marekani asiingilie nae kwenye vita kama Houthi alivyoingilia?
100% wapo sahii sababu wao wanachotaka hyo vita iishe na wengine wasiendelee kupitisha silaha kuuchochea zaidi tofauti na kule ukraine waliungana kuzidisha ugomvi badala ya kusuluhisha.
 
Ufaransa , Spain, Italy wamemuuliza malengo ya hivi vita nini? Kama kumlinda Israel endelea mwenyewe sisi tujilinda wenyewe wamekataa kuingizwa kwenye vita ambavyo hawana maslahi navyo.
Hayo makampuni ya meli zinazoshambuliwa mbona sio za israel? Maersk, MSC n.k
 
Hayo makampuni ya meli zinazoshambuliwa mbona sio za israel? Maersk, MSC n.k
Makampuni hata yakiwa sio ya Israel kinacho mata ni mzigo uliobebwa ni wa nani? Nyie misukule mnafali wapi mbona Houthi wametoa maelezo yanayoeleweka bila kutumia nguvu.

Houthi wamesema meri yoyote inayoingia au kutoka Israel ni marufuku kupita hapo yemeni na meri yoyote mali ya Israel ni halali yao
 
Back
Top Bottom