Unaonaje Houthi wameingilia ugomvi wa Israel na Gaza wapo sahihi? Na kwanini Marekani asiingilie nae kwenye vita kama Houthi alivyoingilia?Akili zimewarudia sasa maana kule ukraine walibuluzwa wakaingia kwenye ugomvi usiowahusu wao wakawa wanapata hasara mwenzao makampuni yake yanapata faida ya kuuza silaha na gas akawa anawauzia kwa bei ya mara mbili ya sokoni sasa hv anataka kuwabuluza tena kwenye ugomvi wa israel
Houthi wanawasaidia wanaoonewa kama anavyofanya us na shost zake kule ukraineUnaonaje Houthi wameingilia ugomvi wa Israel na Gaza wapo sahihi? Na kwanini Marekani asiingilie nae kwenye vita kama Houthi alivyoingilia?
Mashallah🤣🤣
Iran threatens to close Mediterranean over Gaza, without saying how.
Iranian Revolutionary Guards commander said the Mediterranean Sea could be closed if the United States and its allies continued to commit crimes in Gaza.
"They shall soon await the closure of the Mediterranean Sea, (the Strait of) Gibraltar and other waterways," Tasnim quoted Brigadier General Mohammad Reza Naqdi, coordinating commander of the Guards, as saying.
Kaka nilikuwa namaanisha yule bwege alileta link iliyopitwa na wakati🤣🤣
Iran threatens to close Mediterranean over Gaza, without saying how.
Iranian Revolutionary Guards commander said the Mediterranean Sea could be closed if the United States and its allies continued to commit crimes in Gaza.
"They shall soon await the closure of the Mediterranean Sea, (the Strait of) Gibraltar and other waterways," Tasnim quoted Brigadier General Mohammad Reza Naqdi, coordinating commander of the Guards, as saying.
🇾🇪 Afisa mwandamizi wa AnswarAllah:Houthi wanawasaidia wanaoonewa kama anavyofanya us na shost zake kule ukraine
Ila kama anaamua kuingilia aingilie tu si ndio atakua kaishaamua unadhani sisi tutamfanyaje?
Haha unyama kakaNimekusoma nimeongezea punch😅
BREAKING: TAARIFA RASMI YA RAIS WA IRANItan wametangaza kuifunga Hormuz, meli yoyote isipite ikiwa Wamarekeni na vibaraka wake wataendeleza kuuwa raia wa Ghaza.
Wanaukumbi..
Baadhi ya nchi hazijathibitisha ushiriki wao, hata hivyo, huku zingine zimesema juhudi zao za kusaidia kulinda trafiki ya kibiashara ya Bahari Nyekundu zitakuwa kama sehemu ya makubaliano yaliyopo ya jeshi la maji badala ya operesheni mpya inayoongozwa na Marekani..
Ukosefu wa maelezo na uwazi juu ya kile ambacho nchi zinafanya kumeongeza mkanganyiko kwa kampuni za meli, ambazo baadhi zimekuwa zikielekeza meli mbali na eneo hilo baada ya mashambulio hayo, ambayo Wahouthi wanasema ni jibu la shambulio la Israeli kwenye Ukanda wa Gaza…
==================
Some countries have not confirmed their participation, however, while others have said their efforts to help protect Red Sea commercial traffic will be as part of existing naval agreements rather than the new U.S.-led operation.
The lack of details and clarity over what countries are doing has added to confusion for shipping companies, some of which have been re-routing vessels away from the area after the attacks, which the Houthis say are a response to Israel’s assault on the Gaza Strip.
Spain, Italy, France Decline US Command Of Red Sea Operation Prosperity Guardian
by Dmitry Zhdannikov (Reuters) The United States is assembling a multinational naval coalition to help safeguard commercial traffic from attacks by Yemen’s Houthi movement. On Thursday, the Pentagon said more than 20 countries had...gcaptain.com
Imekuingia eeh? Stahamili, hiyo ilikuwa sindano tu bado dawa.huyu Rita zainabu serikali inabidi imechukulie kama gaidi yy na magaidi ni kitu kimoja fuatilien nyuzi zake zote…..
Kashakua radicalised
100% wapo sahii sababu wao wanachotaka hyo vita iishe na wengine wasiendelee kupitisha silaha kuuchochea zaidi tofauti na kule ukraine waliungana kuzidisha ugomvi badala ya kusuluhisha.Unaonaje Houthi wameingilia ugomvi wa Israel na Gaza wapo sahihi? Na kwanini Marekani asiingilie nae kwenye vita kama Houthi alivyoingilia?
Hayo makampuni ya meli zinazoshambuliwa mbona sio za israel? Maersk, MSC n.kUfaransa , Spain, Italy wamemuuliza malengo ya hivi vita nini? Kama kumlinda Israel endelea mwenyewe sisi tujilinda wenyewe wamekataa kuingizwa kwenye vita ambavyo hawana maslahi navyo.
Makampuni hata yakiwa sio ya Israel kinacho mata ni mzigo uliobebwa ni wa nani? Nyie misukule mnafali wapi mbona Houthi wametoa maelezo yanayoeleweka bila kutumia nguvu.Hayo makampuni ya meli zinazoshambuliwa mbona sio za israel? Maersk, MSC n.k