Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hapo majuzi taifa la Spain liliizuia meli iitwayo Marianne Danica kutia nanga kwenye moja ya bandari zake kwa vile ilikuwa imebeba tani 26.8 ya silaha za miripuko kupeleka Israel.
Meli hiyo ilikuwa ikitokea India na iliomba kutia nanga kwenye bandari ya Cartagena mnamo Mei 26.
Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo,José Manuel Albares akifafanua msimamo wa nchi yake alisema mataifa ya mashariki ya kati kwa sasa hayahitaji silaha bali yanaka amani.
Nchi ya Spain ni miongoni mwa mataifa machache ya Ulaya yaliyoipigia kura ya ndio Palestina kuwa ili iweze kupata uwakilishi kamili ndani ya umoja wa mataifa.