Es muy fácil - ni rahisi sana
Como esta ?- how are you ?Kwa wale wenye maneno yoyote ya Kihispaniola unatupia hapa
Me naanza na haya usisahau kuweka maana yake kwa kingereza au kiswahili ili watu waweze angalau kuondoka na kitu.
Lengo haswa ni ili tuweze kuelewa kitu kutoka kwenye hii lugha adhimu.
Buenos dias_Good morning.
Buenos tardes-Good afternoon.
Buenos noches-Good evening.
Me illamo Okoth p'bitek-My name is okoth p'bitek
De nada-you are welcome(karibuni)
Sent using Jamii Forums mobile app
FelicidadesHello/Hi = Hola
See you later = Después nos vemos/ nos vemos
See you soon = Nos vemos pronto
Good morning = Buenos días
Good afternoon = Buenas tardes
Good night = Buenas noches
Good bye = Adiós
Bye bye = Chao
Until tomorrow = Hasta mañana
Until next time = Hastabla próxima vez/ Hasta la próxima
Sent using Jamii Forums mobile app
Es FácilDuu mbona kazii
ASA ckieni ma broders tufanye kitu kimoja OK.kujifunza lugha yoyote kuna step zake ni kama mtoto mchanga hawez kuzaliwa ana ongea ama kutembea ama kukimbia lazima apitie steps zote kama kukaa kutembaa finally kutembea the same kwenye lugha huwez ukaanza kujifunza verbs ama pronouns b4 alphabets salamu so tuanze kwanza na vitu vidogo so tutaanza na kitu kimoja kimoja anaefaham atatueleza tutatoa michango na kuuliza maswali then tutakariri na kuelewa then tutamove on to another task hii itakuwa easy kwa beginners to gain something .hatutamzuia ataetaka kufundisha chochote kile ata kama ni verbs b4 kujifunza alphabets lakini tutamake sure kila MTU anaelewa .YANGU ni hayo yeyote mwenye mchango anakaribishwa
itapendeza 👏Tuundeni group la WhatsApp/ telegram .....
wasap iko gud sana sema shida bando ila its a good ideaTuundeni group la WhatsApp/ telegram .....