Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalaam
Kama heading inavyosema naomba kujua ni vitu gani vya kuanza navyo kwenye biashara ya spare part za Tv Radio, Computer nk.
Nenda kwenye duka la utengenezaji wa computer na TV, muulize fundi.Wasalaam
Kama heading inavyosema naomba kujua ni vitu gani vya kuanza navyo kwenye biashara ya spare part za Tv Radio, Computer nk.
Nashukuru mkuuMkuu .nimefanya sana ufundi computer ivyo nakushauri kwa vitu vyakuanzia nunua adapter na power zake,nunua vioo vya laptops ,uwe na keybod,na kingine uwe unanunua mashine mbovu upate disk ram na chipi kutoka kwenye izo mashine ili ukipata shida ya mashine iliyozima uweze kubadili chip kwa uraisi..
kama una swali unaweza uliza