Mtoa mada kasepa naona mziki umepata wachezaji
Hahahah kuna nchi haina vumbi? Hahahah unaijua dunia vizuri? Hahahah mchana watu hawalali??? Hahaha poyeeee hahahahah
You are loser hahahah
Wewe kama nani? unapotishia kujamba wakati unahara shida yake ndio hii.mods waifunge tu hii mada
Kama wewe nchi uliyowahi kufika ni Zanzibar tu ni lazima uamini nchi zote zina vumbi sikujuwa kama nadebate na mbumbumbu wa kutupwa.
Wewe kwa sababu ni kula kulala sikatai unaweza kulala mchana ila kwa mtu mwenye majukumu yake hawezi kulala mchana.
Nashukuru umenisaidia kukuelewa wewe ni kiwango kipi uko too low si wa level yangu.
Alamsiki.
Mtoa mada kasepa naona mziki umepata wachezaji
Wewe kama nani? unapotishia kujamba wakati unahara shida yake ndio hii.
We mwenye kazi na ulie mchana wa jua kali huko mbona unatangatanga hapa kama nyoka aliyepondwa kichwa?? Wenye kazi zao wanapoteza mda na wasio na kazi?? Hahahaaaa
Kwahiyo mjuaji hiyo nchi uliyopo yote imesakafiwa?
Mimi nawewe nani kapoteza direction hapa???
Alamsiki mtakie jirani yako mi hainisaidii chochote siku nyingine usidandie wimbo wa kujifunza kwani haukeshi ngomani.....
Kwisha habari yako umebaki kuimba taarabu tu hapa huna lolote kula kulala wewe kodi ya nyumba shikamoo.
Hahahahaaa ndo nafuu ya maisha hiyooo hahahah huna jipya mkaanga sumu kalaleee
Mkuu hii thread nilianza kwa kuchangia post moja tu nikisema uhuru wa mawazo uheshimiwe basi.
Hapo ndipo nikaona mtu na wowowo lake anajifanya anajuwa sana ndipo nilipoamuwa kumuonesha mimi ni mtambo wa kurekebisha tabia na sasa analialia eti thread ifungwe.
Unafurahia kuwa kkb? kodi ya nyumba shikamoo?
ooh boy!!
Nimetaka thread ifungwe kwakua nakuonea huruma kwa kupoteza direction unirekebishe tabia kwa kipi ulichoandika?
Hahah unachekesha ujue???
ID nyiingi kama miguu ya jongoo lakini hazina faida......
Pole sana......
Mi wala sikufurahii nakucheka kwa dharau tuuu.....
Unahangaika na furushi la ID kibaao kama mtoto....
Ungekua mtafutaji usingeacha furushi la ID nyingi likuelemee namna hiyo...
Porojo dot com kufungwa thread anayeomba ni yule aliyeanzisha na siyo wachangiaji, vipi kitufe cha report abuse haukioni? utajibeba leo.
Hebu futa mipovu na mimate yako kwanza, safisha na hiyo miudenda kishachapa lapa, mimi nazungumza na wanaume wenzangu na siyo kivulana kama wewe.
Nani kasema hajaenda shule? umeisoma vizuri ile post yake? kulikua na haja ya kuandika kwa ligha ile? kwa upeo wako ule mpangilio unaleta maana sahihi?
Mtoa mada kasepa naona mziki umepata wachezaji
Hizi wishes za usiku mwema mbona wengine hatupatagi?
Mmmhhh eeee ipo muulize Nyaningabu