Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

Eeee mama bhoke jana tumekuita mapema hukujaa kwanini??
Eti tulimsababishiaa ban Huyo muanzisha uzii ndio maana katuandikaa

hahaha aiseeeeee jana nimekosa muvi nililala fofofo mngetumia spika dina
 
Mkuu naomba uniunge mkono katika programme yangu ya kufukuza watoto humu waende shule

Kitu pekee kinawafanya waendeleze umajinuni wao ni kwa watu kuchangia threads zao...

Hivyo tatizo si hao watoto isipokuwa tatizo ni watoto wenzao wanaowaunga mkono kwa kuchangia mada zao...

Namna nzuri ya kuwapinga ni kuwapuuzia.
 
Umenena mkuu....

Maana nimeshangaa kuanzishiwa thread tena MMU....

Ngoja nianze kuwapuuza.....
 
Daddy umenena vyema ni kupuuza tu maana wataleta fyuuuuuuuuuuuuuuuu zingine

kitu pekee kinawafanya waendeleze umajinuni wao ni kwa watu kuchangia threads zao...

Hivyo tatizo si hao watoto isipokuwa tatizo ni watoto wenzao wanaowaunga mkono kwa kuchangia mada zao...

Namna nzuri ya kuwapinga ni kuwapuuzia.
 
Daddy umenena vyema ni kupuuza tu maana wataleta fyuuuuuuuuuuuuuuuu zingine

Waoooo mamiee tulikutafutaaa aisee pole sana nakumbuka siku ile tulikua tunachart sijui ulienda wapi ukakutana na jazba huko lo na Munkari alikutafuta kwelii
 
Last edited by a moderator:
niliingia jukwaa la siasa kule ndo kulikoniletea majanga na balaa nikalambishwa ban ndefu bestito
ndo nimerudi majuzimajuzi tu hapa nashukuru kwa upendo wenu kweli jf nina zaidi ya ndugu

Waoooo mamiee tulikutafutaaa aisee pole sana nakumbuka siku ile tulikua tunachart sijui ulienda wapi ukakutana na jazba huko lo na Munkari alikutafuta kwelii
 
achana nao ila nawatengenezea dawa yao watatoka tu
maana hii dawa itawafanya wajisikie double double

Mambo niaje..
Nsharudi kwa maaana hawa wanachafua khali ya hewa tuu cijui wanatoka wapi
 
niliingia jukwaa la siasa kule ndo kulikoniletea majanga na balaa nikalambishwa ban ndefu bestito
ndo nimerudi majuzimajuzi tu hapa nashukuru kwa upendo wenu kweli jf nina zaidi ya ndugu

Eeeee kule balaaa ndio maans sipendelei kua kulee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…