ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Hahhhhahhhhahha aisee wataomba po manenaaaaa
Eeeee kule balaaa ndio maans sipendelei kua kulee
achana nao ila nawatengenezea dawa yao watatoka tu
maana hii dawa itawafanya wajisikie double double
Ha ha ha hii muhimu sana umenena ukwel wanataoa povu sana lazima tupeane heshima
acheni bhana fujo MUNGU hapendiHa ha ha hii muhimu sana umenena ukwel wanataoa povu sana lazima tupeane heshima
flesh maana bila heshima mjengoni humu watu tunadharauliana sana
inabidi tuwanyooshe kidogo ili wajue kuna makasisi humu
Nami namtambulisha rasmi miss chagga ni mke wangu halali umpende tafadhali
flesh maana bila heshima mjengoni humu watu tunadharauliana sana
inabidi tuwanyooshe kidogo ili wajue kuna makasisi humu
acheni bhana fujo MUNGU hapendi
pigia mstari,kuna watu hata id zao zingine wanashindwa kuzifichana wewe Lady niece ni kasisi?
Kabisa miss chagga hebu mtamkie kiwatengu aamini mie ni mmeo.....
Ligi kushneh hahhhahhha
mshindi kapatikana au droo?
mshindi kapatikana au droo?
Hilo jinga lenu labda lifanye ligi ya kanga moko na warembo wenzake ataibuka mshindi.
Hilo jinga lenu labda lifanye ligi ya kanga moko na warembo wenzake ataibuka mshindi.
Eee ashajulikana mbonaaa hahhhhahhh