Hahaha au nawewe unamwonea dongeee
Yuko wapi mheshimiwa?Nataka nimuulize japo swali moja
Na tena kachumbari huongezeka radha pale unapoitia pilipili
Hahaha au nawewe unamwonea dongeee
jamani mama bhoke!! hebu kuja unikumbatie...! nimekumissoooo!!!Mwenzangu I never seen such englisiii!!
ha ha ha ha!!!!!!!!
mbona atajibu tu........
Mwenzangu I never seen such englisiii!!
Na tena kachumbari huongezeka radha pale unapoitia pilipili
Nimependa kingereza chako na shukrani nyingi ziwafikie mods kwa kazi nzuri ya watu wa kifungoni maana ni full englisiiii!!!
Eee anamuonea donge kama wewe unavyowaoneaa dongeee lol
Kachumbari ina raha yake kwenye pilau
Nimemuita anakujaa atakua kalewaaa
Twende basi na sie tukajifunze kiinglisiiii! !
jamani mama bhoke!! hebu kuja unikumbatie...! nimekumissoooo!!!
Ngoja aje tumuombe atufundishe
Mwanamutapa anasema namwonea donge lol .....
Kimalkia bwana ukijipendekeza kwacho hakikawii kukupa za uso ukaabika buree
Asipaone muheshimiwa
Honey Faith ningekuwa sina commitment ningekugeukia wewe, jina lako tamu kama wewe mwenyewe
Mbona una jump to conclusion? nani kakufananisha nao? mi nimekuomba uwafikishie salamu mkuu acha kujishuku dhambiiiii....
kwa mara nyingine labda hukunielewa msalimie matola na billionaire pitgan