Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

kijijini sikuwa nimefika muda mrefu.........

nilikuwa busy kutafuta paspoti m nimepata tetesi za kukanwa na ccm.


Nani tena kakukana?

Paspot waenda wapi tenaa? nasikia kijijini kaka SHIEKA na dada Madame B wamepotea kabisa....
 
Last edited by a moderator:
Mbona una jump to conclusion? nani kakufananisha nao? mi nimekuomba uwafikishie salamu mkuu acha kujishuku dhambiiiii....

kwa mara nyingine labda hukunielewa msalimie matola na billionaire pitgan

Am no body siko JF kutafuta ushirika na yeyote, sijui ndio mnapeana promo ya majina mimi sijui hilo huna tofauti na Billy Malecela wakati akiwa America kila alipishana naye misimamo basi alijifanya anamjuwa na ni Family member wa Ngwilulupi.

Boy take your time sikujui hunijui na sihitaji kujuwana na yeyote kwenye forum hii.
 
Back
Top Bottom