Hahahahaha may be sie ndo hatujui ngoja kesho nitaenda shule kuulizia
Mie ni mchungu balaaa
Mwenzangu I never seen such englisiii!!
Am no body siko JF kutafuta ushirika na yeyote, sijui ndio mnapeana promo ya majina mimi sijui hilo huna tofauti na Billy Malecela wakati akiwa America kila alipishana naye misimamo basi alijifanya anamjuwa na ni Family member wa Ngwilulupi.
Boy take your time sikujui hunijui na sihitaji kujuwana na yeyote kwenye forum hii.
Nitake kukujua kwa lipi na kwa kipi?
Mi sina mda mchafu wa kutafuta hasara ya kujuana...
Naona povu lakutoka kutumwa salamu hahahah
Sihitaji kujua hata jina lako ila nisalimie akina matola na billionaire pitgan hahahah
Au hutaki nimtume mwingine?
Weeeeee utake radhi pilauu lol kumbe siku hiz una jina jipyaaa
Hahhhhahhhahhaha nitume mimii
Ila unipe pesa situmwi bureee
Jina gani tena hilo? Pilau ina staili nyingi za kuliwa
Kazi zilitutenga sasa mawasiliano yapohivi kwanini uliachana na mimi wakati bado TUNAPENDANA?
Unapomkosoa mwenzako ni busara na wewe usiingize mzaha kwenye andiko lako maana English haiwezi kuwa englisiii.
Hebu nitajie hizo style zotee
Mimi ni mesenja hapa JF? kama una hamu nao pm ni ya kazi gani hapa? au ndio uko hapa kuprovoc watu halafu ukimbilie kwa mods? grow up acha tabia za kishamba na ushuleshule.Nitake kukujua kwa lipi na kwa kipi?
Mi sina mda mchafu wa kutafuta hasara ya kujuana...
Naona povu lakutoka kutumwa salamu hahahah
Sihitaji kujua hata jina lako ila nisalimie akina matola na billionaire pitgan hahahah
Au hutaki nimtume mwingine?
Aaaah hivi kumbe nimekosea nahisi itakuwa typing error si unajua ni usiku sasa hivi
Dinazarde nakutambulisha rasmi kwa wifi yako anaitwa ICHANA, umpende kwa dhati ni mboni ya jicho langu
Aaaah hivi kumbe nimekosea nahisi itakuwa typing error si unajua ni usiku sasa hivi
Mimi ni mesenja hapa JF? kama una hamu nao pm ni ya kazi gani hapa? au ndio uko hapa kuprovoc watu halafu ukimbilie kwa mods? grow up acha tabia za kishamba na ushuleshule.
Haya kawasalimieee
Kuna tofauti kubwa ya matumizi kati ya **your*** na **you are *** naona kwa ufahamu wako finyu hujagundua lolote ndio maana ukasema namuonea donge...
kuhusu kuelewa hapo ndo huaribiwa na hayo makosa maana maneno yakitumika visivyo huleta maana tofauti au hujui?
You are too low!!