Hhheeee nashukuru mwambie nae anipendeee
Hhheeee nashukuru mwambie nae anipendeee
I'm not here to make headlines neither to dispute your perception nor to criticize you but to air my view, kuhusu kiingereza usibeze mtu kwa matumizi ya yours na you are kwa kusema hajaenda shule these are common mistakes used by even highly educated people including Affect vs effect, their, they are and there, fewer vs less and your vs you are these are common mistakes you will often see people's social media profiles nk as long sio mtihani sioni issue hapa hata wewe hukuona unafanya errors kwa kiingereza na Kiswahili one hour ago umekosea kuandika dharau. I don't see big issue at all
Nami namtambulisha rasmi miss chagga ni mke wangu halali umpende tafadhali
Sweet ICHANA, Dinazarde ndio wifio wa kwanza, umpende na kumuheshimu
Kumbe ulijibebea yule malaikaa bwanaa khaaa hongera mtoto mkali yulee tena najua hakupendei pesaa
Kwani kaka mbona unayakuza wakati madogo tu?
Si ungetaa tu kama hutaki? siku hizi kuna satellite Kali hata ukilala inakumulika kama hujui muulize Remote halafu ruksa ya kutoka jela na kuja kuzurura anakupa nani?
Labda tu nikupe ushauri wa bure kama nia yako ni umaarufu kunuka hapa JF.
andika mada za maana utasifika kwa kuwa mweledi, Mzizimkavu wala hatumii nguvu hizi kuwa maarufu na watu kumkubali.
Mtambuzi halikadhalika hatumii nguvu hizi kuwa maarufu bali ujiko unakuja wenyewe
Jukwaa la siasa mwanakijiji ni michango yake na makala zake ndio zinampa umaarufu na siyo kudandia watu na kujifanya mjuwaji wakati hujui lolote zaidi ya ukasuku.
Mimi siyo verified user na hao unaonihusisha nao siyo verified user pia.
Kwa sababu una nia na bidii ya kunijuwa kesho nitaongea na Max in personal labda wewe ndio utamueleza unataka nini kwangu.
Acha uongo excel ni miss needy
Hahahahahah labda niliona vibaya
Sweet ICHANA, Dinazarde ndio wifio wa kwanza, umpende na kumuheshimu
Ndio maana nakushangaa kid, unavyobabaika na id za kike ukadhani wote ni wanawake.Nani anatafuta umaarufu?? Wa kazi gani?? Hivi unatumia nini kufikiri? Anonymous utafute umaarufu wa nini? Ili iweje? Unisaidie nini labda? Angalia reasoning zako zinakuaibisha kijana
Ndio maana nakushangaa kid, unavyobabaika na id za kike ukadhani wote ni wanawake.
Kwanza mimi nimejibu tu ujinga wako kwa sababu nimeona hujielewi otherwise mtu kama wewe nakuweka tu kwenye ignore list yangu.
Na kwa sababu huna adabu unadhani kila mtu humu ni kijana mwenzako ndio maana unaleta utoto, mimi siyo kijana nitaongea na Max ndio utafahamu kwamba JF si ya vijana tu.
Haya bana mpe yote kaka yangu hadi aisahau jamii
Hahahah akizidisha msianze malalamiko maana hamkawiagi kusema kaka kalishwa limbwata teh teh
Eeeeee ni vizuri bana mwache akamatilie fursaa