Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Welevu wataelewa nilichoongea, nile kona kwenda wapi? wewe ni hapa JF kuwachagulia watu cha kufanya? umesema unaenda kulala kinachokuweka hapa ni nini? usilete tabia za kishangingi hapa.Umewahi kumwona mlevi aliepotea kwake?
Kwahiyo ukiwa navyo nikusaidieje?
Naona unajiabisha tu maana hueleweki kula kona banaa
Mkuu mi nimempa salamu tu nashangaa kawa mkali kama koboko
Mkuu msamehe ana stress ya maisha
Kaka nawe pia usiku mwemaaa
Welevu wataelewa nilichoongea, nile kona kwenda wapi? wewe ni hapa JF kuwachagulia watu cha kufanya? umesema unaenda kulala kinachokuweka hapa ni nini? usilete tabia za kishangingi hapa.
Ooh sorry bina nimewatoroka kidogo nipo gambosh
Mkuu msamehe ana stress ya maisha
Hivi Lusungo umeamua kuchenj avatar kutumix?
Anayeweweseka ni mimi au wewe? hivi wewe wa wapi? salama au lawama?Nani kasema anakwenda kulala?? Hahahah unaweweseka nini??
Naona taratibu unaaza kukunjua makucha yako hahahah
Hahaha kukumix na nini mkuu??
Hahahahah hata mi naona maana anachoongea hata hakina uhusiano na mantiki jamaa kachanganyikiwa kama kondoo aliepotea malishoni teh teh teh
Two in one at work, unajitekenya na kucheka mwenyewe kweli JF never boring.
Unajua unaonekana kituko?? Hahahah maskini ya mungu utafiri umekwea mpera wenye uterezi kila tawi linakukataa...
Si kila mtu anamuda mchafu wa kumiliki ID nyingi nyingi...
Usione aibu kwa kulowa sepa tu hahahah
Hiyo avatar yako, naona unakuwa super staa wa Jf hadi kwenye headline umawekwa duh
Huna hoja unaleta viroja tu, ujinga mtupu eti sepa kwa nini wewe usiskip na uchangie mada nyingine?
kuchanganyikiwa ni kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Wewe huna jipya kung'uta vumbi la mguu kalaleee
Hivi unadhani kila mtu ni mla vumbi mwenzako? pole sana kama unadhani mimi nipo local time zako unahitaji ushauri wa daktari hii ni mental case sasa.
Hivi kumbe nawe ukorofi unao eh? Ha ha haa miandiko ya kibeba box ikoje?