Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

I'm not here to make headlines neither to dispute your perception nor to criticize you but to air my view, kuhusu kiingereza usibeze mtu kwa matumizi ya yours na you are kwa kusema hajaenda shule these are common mistakes used by even highly educated people including Affect vs effect, their, they are and there, fewer vs less and your vs you are these are common mistakes you will often see people's social media profiles nk as long sio mtihani sioni issue hapa hata wewe hukuona unafanya errors kwa kiingereza na Kiswahili one hour ago umekosea kuandika dharau. I don't see big issue at all

Nani kasema hajaenda shule? umeisoma vizuri ile post yake? kulikua na haja ya kuandika kwa ligha ile? kwa upeo wako ule mpangilio unaleta maana sahihi?
 
Kwani kaka mbona unayakuza wakati madogo tu?

Si ungetaa tu kama hutaki? siku hizi kuna satellite Kali hata ukilala inakumulika kama hujui muulize Remote halafu ruksa ya kutoka jela na kuja kuzurura anakupa nani?

Labda tu nikupe ushauri wa bure kama nia yako ni umaarufu kunuka hapa JF.

andika mada za maana utasifika kwa kuwa mweledi, Mzizimkavu wala hatumii nguvu hizi kuwa maarufu na watu kumkubali.

Mtambuzi halikadhalika hatumii nguvu hizi kuwa maarufu bali ujiko unakuja wenyewe

Jukwaa la siasa mwanakijiji ni michango yake na makala zake ndio zinampa umaarufu na siyo kudandia watu na kujifanya mjuwaji wakati hujui lolote zaidi ya ukasuku.

Mimi siyo verified user na hao unaonihusisha nao siyo verified user pia.

Kwa sababu una nia na bidii ya kunijuwa kesho nitaongea na Max in personal labda wewe ndio utamueleza unataka nini kwangu.
 
Last edited by a moderator:

Nani anatafuta umaarufu?? Wa kazi gani?? Hivi unatumia nini kufikiri? Anonymous utafute umaarufu wa nini? Ili iweje? Unisaidie nini labda? Angalia reasoning zako zinakuaibisha kijana
 
Ndio maana nakushangaa kid, unavyobabaika na id za kike ukadhani wote ni wanawake.

Kwanza mimi nimejibu tu ujinga wako kwa sababu nimeona hujielewi otherwise mtu kama wewe nakuweka tu kwenye ignore list yangu.

Na kwa sababu huna adabu unadhani kila mtu humu ni kijana mwenzako ndio maana unaleta utoto, mimi siyo kijana nitaongea na Max ndio utafahamu kwamba JF si ya vijana tu.
 
hahah unachekesha unafikiri nakuona hapa tu?

naona umesahau post yako ya kwanza hapa jf umeianzia kwangu hahahahah

ukiniweka kwenye ignore list hainipunguzii uwezo wa kuishi mjini.....

Uwe mkubwa au mdogo kwangu hainisaidiii....
 
Back
Top Bottom