Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

hahah unachekesha unafikiri nakuona hapa tu?

naona umesahau post yako ya kwanza hapa jf umeianzia kwangu hahahahah

ukiniweka kwenye ignore list hainipunguzii uwezo wa kuishi mjini.....

Uwe mkubwa au mdogo kwangu hainisaidiii....
Nimeshakueleza unajifanya mjuwaji wakati hakuna ulijuwalo, unabwatabwata usivamie mji kwa pupa zamani hapa hatukuwa na watu wa ajabu ajabu kama wewe kwanza ujifunze na ujuwe name calling ni kosa kwa sheria na kanuni za JF wanaohusoka wenyewe wakijisikia ni hiyari yao kukureport kwa mods, mimi sina muda huo kwa sababu hainiathili chochote.

kwa kifupi tu nilichogunduwa kutoka kwako huna tofauti na pro ccm wa jukwaa la siasa ukiikosoa tu serikali basi wewe utapachikwa jina la Chadema.
 
Lala tu upunguze jazba kwakuwa unayoongea hayana ushirikiano na umri wako.....

Ntakurejea asubuhi ukiishiwa povu
 
Ndio maana nikasema akili yako ni ndogo sawa na ubongo wa kuku wewe unadhani kila mtu alipo ni muda wa kulala au ni usiku?

Utanilejea ili iweje? utoto kazi sana.
 
Hahahahahahah una lako jambo utoto wangu ndo unanifanya niishi mjini ubongo wangu mdogo kama wa kuku ndo unakufanya uache shughuli zako na kunifwatilia na jinsi ulivyo na hasira na mimi post ya kwanza ukanijia mie hahahahah pole kwa mda mchafu wa kuzunguka mbuyu kwa ID zako lukuki
 
Ndio maana nikasema akili yako ni ndogo sawa na ubongo wa kuku wewe unadhani kila mtu alipo ni muda wa kulala au ni usiku?

Utanilejea ili iweje? utoto kazi sana.

Mchana mwema
 
Naona umeamuwa kulala macho, two in one safi sana. Mimi nina four in one, simu, laptop, ipad na desktop.

Umewahi kumwona mlevi aliepotea kwake?

Kwahiyo ukiwa navyo nikusaidieje?

Naona unajiabisha tu maana hueleweki kula kona banaa
 
Back
Top Bottom