Inakaa chini ya uvungu karibu na tairi za nyuma.
Yaani nenda nyuma ya gari yako hyo noah alafu inama chungulia utaiona hapo.
N.B;
Usikariri, waweza kuiweka au kuikuta ndani ya boot kwa maana sio lazima kuiweka huko chini uvunguni.yaan ukitaka waweza kuiweka hata kwenye seat ya mbele. BUT,
Sehemu sahihi ya kukaa hyo ni uvunguni mwa gari na kuna sehemu yake kabisa.