masele paul
Member
- Jan 12, 2017
- 46
- 37
Ninauliza spear tire ya Toyota Noah new model huwa inawekwa sehemu gani? Anayejua anielimishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu vipi kuhusu uhimara kwahizi gari zina weza purukushani hasa kwa biashara! na vipi ulaji wake mafuta? Tujuze kwaniaba ya wengineInakaa chini ya uvungu karibu na tairi za nyuma.
Yaani nenda nyuma ya gari yako hyo noah alafu inama chungulia utaiona hapo.
N.B;
Usikariri, waweza kuiweka au kuikuta ndani ya boot kwa maana sio lazima kuiweka huko chini uvunguni.yaan ukitaka waweza kuiweka hata kwenye seat ya mbele. BUT,
Sehemu sahihi ya kukaa hyo ni uvunguni mwa gari na kuna sehemu yake kabisa.