Spear tire ya Toyota Noah new model

Spear tire ya Toyota Noah new model

masele paul

Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
46
Reaction score
37
Ninauliza spear tire ya Toyota Noah new model huwa inawekwa sehemu gani? Anayejua anielimishe.
 
Inakaa chini ya uvungu karibu na tairi za nyuma.
Yaani nenda nyuma ya gari yako hyo noah alafu inama chungulia utaiona hapo.
N.B;
Usikariri, waweza kuiweka au kuikuta ndani ya boot kwa maana sio lazima kuiweka huko chini uvunguni.yaan ukitaka waweza kuiweka hata kwenye seat ya mbele. BUT,
Sehemu sahihi ya kukaa hyo ni uvunguni mwa gari na kuna sehemu yake kabisa.
 
Mkuuu vipi kuhusu uhimara kwahizi gari zina weza purukushani hasa kwa biashara! na vipi ulaji wake mafuta? Tujuze kwaniaba ya wengine
 
Back
Top Bottom