Special announcement to new students for 2013/2014 academic year

Wa kwanza wewe nawasubiri na wengine ila me ni Udsm.
 
Mbu-pu lako,unatupeleka vyuo vya kienyeji mkipigwa mabango mnalalamika...eti kilikua theological centre ya morovian leo kimekua chuo...page yenyewe imepooza utasema ni chuo cha wale+mavu wa macho

Nakushauri uache dharau bwana mdogo huijui kesho wewe.
 
siku nyingine ukitaka kutupia thread specify kweye headings
 
Mbu-pu lako,unatupeleka vyuo vya kienyeji mkipigwa mabango mnalalamika...eti kilikua theological centre ya morovian leo kimekua chuo...page yenyewe imepooza utasema ni chuo cha wale+mavu wa macho

mkuu msamehe bure.
 
Ukipewa nafasi ya kuandika tena ungeandika hiko ulichoandika???
 
Mbu-pu lako,unatupeleka vyuo vya kienyeji mkipigwa mabango mnalalamika...eti kilikua theological centre ya morovian leo kimekua chuo...page yenyewe imepooza utasema ni chuo cha wale+mavu wa macho

..............
mkuu taratibu bana utachafua hali ya hewa Af mods si unawajua .........
 
Mbu-pu lako,unatupeleka vyuo vya kienyeji mkipigwa mabango mnalalamika...eti kilikua theological centre ya morovian leo kimekua chuo...page yenyewe imepooza utasema ni chuo cha wale+mavu wa macho

haaaa aaahaaaaa eti cha walemavu mkuu umenchekesha kweliii.....
 
Back
Top Bottom