Special Branch, Naomba Mfanye Life Style Audit ya Mawaziri Wafuatao na Kisha Mmpe Report Mheshimiwa Rais

Terrible Teen

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
1,236
Reaction score
3,544
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
 
Kaka ukiona mtu Tanzania anapewa wizara nyeti ambayo aiendani na yeye ukimsikiliza jua watu wana malengo yao.

Mavunde utamuonea tu; atarubuniwa ila wenyewe wana deal kubwa zaidi za mavuno ya muda mrefu.

Same na Bashungwa kumbe watu wana deal zao za silaha huko. Yaani Bashungwa waziri wa ulinzi na mambo ya ndani kweli.

Shida sio wanasiasa, shida ni civil services.

Suluhisho la muda mrefu ni hoja za Gwajima na hoja za Rostam Aziz (kuandaa watu sahihi) hata saa mbovu kwa siku mara moja inasema sawa.

Mengine visasi tu vya wanasiasa, kinachohitajika ni mfumo imara wa civil services na mwanzo ni kupunguza madaraka ya raisi kikatiba.

Let CCM deal with their nonsense, sisi wananchi tupambane na kutenganisha ushirikiano wa vyama vya siasa na vyombo vya doła.

Vinginevyo mawaziri wote majizi tu wana pishana fursa tu zilizopo wizarani.
 
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
Mkuu. Umetaja kitchen cabinet nzima.
Hao ni untouchable.
Hata wewe umetumia ujasiri mkubwa sana kutaja hayo majina na ukirudia tena, utabambikiwa kesi ya kutumia simu wakati umelewa.
 
Hivi hii kitu bado ipo na inafanyaga kazi? Nilisikia sifa zake wkt nasoma na coin/is miaka ya nineteen kweusi kule miaka ya mkapaz!
 
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
Mkuu , labda tulihifadhi hili Kwa ajili ya kufanyiwa kazi hapo baadae.

Kwa Sasa hata akipelekewa, Hawezi kusoma chochote.

Aliwahi Mteua Marehem
 
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
"Nendeni mkale kwa urefu wa kamba zenu", sauti ilisikika nyikani.
 
Nchi hatuna jeshi. Bandari inauzwa wapo kimya tu. Kazi kusumbua na yutong mjini
Nchi Ina jeshi imara kuliko majeshi ya nchi nyingi.
Siasa zetu ndizo zinapitia mtihani..baada ya kutokea ghafla kifo cha Amiri Jeshi mkuu.
Iko siku utakuja jukwaani kuwapa Maua Yao!!
 
Ivi Pole Pole bado anaendelea kupokea fedha za serikali?
 
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
Na DAB
 
Kwamba, Polepole akiwajua sana life styles zao kuliko Rais? We mwehu!!
 
Mkuu. Umetaja kitchen cabinet nzima.
Hao ni untouchable.
Hata wewe umetumia ujasiri mkubwa sana kutaja hayo majina na ukirudia tena, utabambikiwa kesi ya kutumia simu wakati umelewa.
😂😂😂😂😂😂
 
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
Kama rais mwenyewe ana tuhuma unampa ripoti ili iweje?
 
Back
Top Bottom