Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,236
- 3,544
Mkuu. Umetaja kitchen cabinet nzima.Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
Hahaha eti "wakati umelewa"ππMkuu. Umetaja kitchen cabinet nzima.
Hao ni untouchable.
Hata wewe umetumia ujasiri mkubwa sana kutaja hayo majina na ukirudia tena, utabambikiwa kesi ya kutumia simu wakati umelewa.
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
Mkuu , labda tulihifadhi hili Kwa ajili ya kufanyiwa kazi hapo baadae.Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
"Nendeni mkale kwa urefu wa kamba zenu", sauti ilisikika nyikani.Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
π€£ π€£ π€£ πKwamba kesi ya nyani apewe ngedere??!!
Nchi Ina jeshi imara kuliko majeshi ya nchi nyingi.Nchi hatuna jeshi. Bandari inauzwa wapo kimya tu. Kazi kusumbua na yutong mjini
Amesema jana alikua hawez kumsema mtu huku bado anakula vyake, so kaacha kula vya serikali na chama ili awalipue πIvi Pole Pole bado anaendelea kupokea fedha za serikali?
Au mhujumu UchumiMkuu. Umetaja kitchen cabinet nzima.
Hao ni untouchable.
Hata wewe umetumia ujasiri mkubwa sana kutaja hayo majina na ukirudia tena, utabambikiwa kesi ya kutumia simu wakati umelewa.
Na DABKwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
Kwamba, Polepole akiwajua sana life styles zao kuliko Rais? We mwehu!!Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
2. Waziri Bashe
3. Waziri Aweso
4. Waziri Mwigulu
5. Waziri Mavunde
6. Waziri Biteko
Nimewapanga kwa kuzingatia wingi wa tuhuma zinazoambatana na majukumu yao. Kama Mhe Rais atasikiliza matokeo ya taarifa za Special Branch atalewa nini Polepole anamaanisha kuhusu nyumba kutokuwa na mwenyewe.
ππππππMkuu. Umetaja kitchen cabinet nzima.
Hao ni untouchable.
Hata wewe umetumia ujasiri mkubwa sana kutaja hayo majina na ukirudia tena, utabambikiwa kesi ya kutumia simu wakati umelewa.
Kama rais mwenyewe ana tuhuma unampa ripoti ili iweje?Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.