Special Branch, Naomba Mfanye Life Style Audit ya Mawaziri Wafuatao na Kisha Mmpe Report Mheshimiwa Rais

Hao wote ni matawi tu ya rais Abdul, akichunguzwa huyo jua litazimika ghafla
 
Umemtaja Mavunde nimechefukwa yaani barabara ya Ntyuka Dodoma ina miaka 5, inajengwa tuu, na sasa hv kaamua kuhama jimbo. Msimpe kura huko alikokuja. Msiwafaidishe matumbo yao ujinga mtupu. Barabara ya kwenda mvumi imesahaulika inajengwa miaka kumi si ujinga tuu
 
bashe akiongea utasema huyu sasa ndo waziri, njoo kwenye utekelezaji mavi matupu

kaahidi serikali kutoa mbolea za ruzuku kwa wakulima kupitia vyama vya msingi,katoa kwa wakulima wawili, watatu kimya wengine hawajapata

ila ukimsikia sasa anavyo jisifu utasema watu wamenufaika kweli kweli
 
Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1. Waziri Mchengerwa
Kwa Hapa tuu hawatakiwi kumpa hiyo report yeyote zaidi ya wao wenyewe kuchukua hatua
 
Ongeza na Ulega wa ujenzi
 
Bashe ni hatari sana
 
Nchi Ina jeshi imara kuliko majeshi ya nchi nyingi.
Siasa zetu ndizo zinapitia mtihani..baada ya kutokea ghafla kifo cha Amiri Jeshi mkuu.
Iko siku utakuja jukwaani kuwapa Maua Yao!!
Kazi za jeshi zinajulikana. Kulinda katiba, maliasili za nchi etc. Sasa katiba inakanyagwa tu na mali za nchi zinachukuliwa kirahisi tu. Then jeshi lipo Kama ndondocha tu. Shida tunaishi kwa historia. Leo vikitokea vita let say na majirani tutapigwa mbaya mbovu. Maana hata wananchi wamegawanyika sana
 
List ya Ufisadi nchi hii ambayo Mchengerwa hayupo hiyo sio List.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…