Gharama za usajili wa Company Limited by Shares
capital 200,000---------not more than 500,000 = Tsh 111,200(registration,filling fee +stamp duty)
'' 500,000---------not more than 1,000,000 = '' 141,200 ''
'' 1000,000------- '' 2000,000 = '' 161,200 ''
'' 2,000,000------ '' 3000,000 = '' 181,200 ''
'' 3000,000------- '' 5000,000 = '' 211,200 ''
'' 5000,000------- '' 10,000,000 = '' 241,200 ''
'' 10,000,000----- '' 30,000,000 = '' 262,200 ''
above 30,000,000 na kuendelea = '' 361,200 ''
NB; Gharama hizi ni kwa mujibu wa Brela, pia ikiwa umewasilisha vitabu vitatu(Memorandum and Articles of Association),ukiwasilisha vitabu zaidi ya viatatu, bei yake itaongezeka sh 5000,kwa kila kitabu ,hizi ni gharama za stamduty
Malipo yangu
nitakuchaji 180,000 ,mpaka unapata Certificate of Incorporation. Kazi niatazokufanyia itajumuisha kuandika barua ya Company Name Search(kwa kawaida majibu hutoka baada ya siku tatu) ,kuandaa vitabu vitatu(Memorandum) ambavyo vinagongwa na wanesheria sehemu 6 ambazo Directors mmesaini kugawana share za company, maelekezo ya ujazaji wa form itayoambatana na vitabu na gharama za ufuatiliaji mpaka document ina kamilika ambayo kwa uzoefu wangu ndani ya week mbili usajili unakuwa umekamilika.
kama vitabu mtataka viwe vingi gharama zangu zitaongezeka kidogo,sababu gharama za printing na binding zitaongezeka,pia gharama nitazowalipa wanasheria zitaongezeka