Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana,iwe ni jina la biashara ama company limited, kwa upande wa company limited utatakiwa kwanza uandike barua ya kuomba jina (company search name) kisha utaandika barua ya kuomba kubadili jina ambayo huambatanishwa na special resolution pamoja na ile barua ya kupitishwa jina ,special resolution huandaliwa na wanasheria na kusainiwa na secretary and chairperson wa company utalipia bank sh 15000/ baada ya kuandikiwa risiti brela, na kwa upande wa business name ni sh 5000/ pia kuna form unajaza ya kubadili jinanahitaji kubadili jina la Kampuni ,naomba unifahamishe utaratibu ukoje hapo brela
Mkuu mimi nipo mkoani na nataka kufungua duka la dawa.ila ndo sina tin number wala chochote.je utanisaidiaje?
Jukwaa la Wajasiriamali linataka watu waaminifu wa aina hii, maana huyu jamaa anapotray real life, na si virtual world kama wengine wengi tunavyofanya.
Mahusiano ya nyuma ya screens yanatakiwa hatimaye yawe productive kama hivi alivyofanya mwanajamvi.
Kwa wenye shaka bado, huyo member Chasha ni jamaa yetu tuko nae Arusha na mjasiriamali aliyepiga hatua.
Binafsi nakupongeza sana mkuu Singo kwa kufaidisha wanajamii kwa kwenda hatua ya ziada nje ya computers.
Asante kwa kuliona hilo,halafu kibaya zaidi alidanganya kwa sababu hakuna company ya aina yoyote brela (iwe by shares or guarantee )ambayo gharama yake ya usajili ni 18,000.Sasa fixer mtu unakaa mbeya utaenda kukomaa na elfu 18 huku unatumia malaki ya pesa kwa nauli na matumizi mengine? binafsi Naona jamaa anasaidia sana. Wakati mwingine waweza Kuwait Dsm ila ukakosa mda kabisa. Huo ni mtazamo wangu tuu. Nipo taya kukosolewa ikibidi.
Mkuu Singo kuna updates zozote tena kuhusiana na hili jambo?Gharama za usajili wa Company Limited by Shares
capital 200,000---------not more than 500,000 = Tsh 111,200(registration,filling fee +stamp duty)
'' 500,000---------not more than 1,000,000 = '' 141,200 ''
'' 1000,000------- '' 2000,000 = '' 161,200 ''
'' 2,000,000------ '' 3000,000 = '' 181,200 ''
'' 3000,000------- '' 5000,000 = '' 211,200 ''
'' 5000,000------- '' 10,000,000 = '' 241,200 ''
'' 10,000,000----- '' 30,000,000 = '' 262,200 ''
above 30,000,000 na kuendelea = '' 361,200 ''
NB; Gharama hizi ni kwa mujibu wa Brela, pia ikiwa umewasilisha vitabu vitatu(Memorandum and Articles of Association),ukiwasilisha vitabu zaidi ya viatatu, bei yake itaongezeka sh 5000,kwa kila kitabu ,hizi ni gharama za stamduty
Malipo yangu
nitakuchaji 180,000 ,mpaka unapata Certificate of Incorporation. Kazi niatazokufanyia itajumuisha kuandika barua ya Company Name Search(kwa kawaida majibu hutoka baada ya siku tatu) ,kuandaa vitabu vitatu(Memorandum) ambavyo vinagongwa na wanesheria sehemu 6 ambazo Directors mmesaini kugawana share za company, maelekezo ya ujazaji wa form itayoambatana na vitabu na gharama za ufuatiliaji mpaka document ina kamilika ambayo kwa uzoefu wangu ndani ya week mbili usajili unakuwa umekamilika.
kama vitabu mtataka viwe vingi gharama zangu zitaongezeka kidogo,sababu gharama za printing na binding zitaongezeka,pia gharama nitazowalipa wanasheria zitaongezeka
NIkinagalia Jedwali la Brela naona Gharama ni Almost the same.Labda kwenye cost zake kunaweza kuwa na mabadiliko.Binafsi nimefurahi kukutana na uzi huu wa wakongwe ambao wamefanya kazi kwa muda mrefuMkuu Singo kuna updates zozote tena kuhusiana na hili jambo?
Gharama za Brela
Gharama zako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabadiliko brela yapo kama ifuatavyoMkuu Singo kuna updates zozote tena kuhusiana na hili jambo?
Gharama za Brela
Gharama zako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mabidiliko kidogo brela nimeanisha hapa baada ya kuulizwa.NIkinagalia Jedwali la Brela naona Gharama ni Almost the same.Labda kwenye cost zake kunaweza kuwa na mabadiliko.Binafsi nimefurahi kukutana na uzi huu wa wakongwe ambao wamefanya kazi kwa muda mrefu