figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mke wangu salamu haitii mimba hata hivyo nimeahilisha. Sitaki namba tena. MiaNaomba urudie hayo maneno...
Mke wangu salamu haitii mimba hata hivyo nimeahilisha. Sitaki namba tena. MiaNaomba urudie hayo maneno...
umenena vyemaongeza wa pili Heaven on earth bahati hiyo
Mke wangu salamu haitii mimba hata hivyo nimeahilisha. Sitaki namba tena. Mia
umenena vyema
ongeza wa pili Heaven on earth bahati hiyo
hell no, napenda niwe na wangu peke yangu
....na ilivyotuna hapo kati, ni shidaaaMi huwa naiangalia hiyo avatar natamani kujua kwanini aliichagua kujiwakilisha!
Ntakupiga marufuku kuongea na mke wangu kama unaanza kumfundisha tabia mbaya ya vidumu. Mia
Avemaria kuion nimeiona mpenzi wangu ilaa
ili u-comment hapa chini hehhee
Nimekumis pia mpnz Heaven on earth
b'se 2xl feat cherish and unkLol. Fungu la kukosa. 25 minutes late is a kick onto your balls. Pole mwaya.
Dedication: why does it hurt so bad-whitney houston BAK, Fixed Point plz fanya mamboz
Ko tunamisiiaana ..kesho ntakuja hiyo mita yenu
Mume wangu...mara ya kwanza ulipanick....naomba u reserve bullets zako tu